swali

We kweli ni the finest na unajua kufinalize mambo nimekunyooshea mikono

Ngoja :A S 100::A S 100::A S 100: Eliza nimwambie akuletee VALUER+PEPSI+SAFARI WOTA kusudi usukumie na lunch mchana huu ikibaki utamalizia jioni kaunta pale ZERO PUB
 
Ngoja :A S 100::A S 100::A S 100: Eliza nimwambie akuletee VALUER+PEPSI+SAFARI WOTA kusudi usukumie na lunch mchana huu ikibaki utamalizia jioni kaunta pale ZERO PUB

Mwe! I'm taking a break will come back later
 
wansema to love is only once, kwamba ni mmoja tu utakaye mpenda kwa dhati na wengine ni mazoea na uzushi tu. na true love ni kusamehe kuforget, yaani no matter anakutendea mabaya utampenda tu.

the love of your life...................... mambo ya mapenzi magumu jamani? sasa huyu kapata mwingine anayempenda, yeye mawazo yake yapo kwa mwingine...............................
 
nimekupata rose sio kwamba huyu hajui anaweza na anajali sana tu na najitahidi kweli hata kupiga simu na msg kama hatuko wote lakini bado tu huyu tuliyeachana anakuja kwenye kichwa changu nachanganyikiwa sana sitaki kumuumiza huyu maana usiyotaka ufanyiwe usimfanyie mwezako halafu nahisi kama sipendi tena wakati mwingine nipo tu
'nahisi kama sipendi na wakati mwingine nipo tu' mmmhh zat is dengaras kabisa kabisa Chauro! You know what hakuna kitu kibaya kama kuishi kinafiki maana si tu kwamba unajiumiza nafsi yako lakini unknowingly hata mwenzio unamuumiza. Binadamu tuko intuitive sana,pamoja na kwamba uliyenaye kwa sasa hakuambii believe me anahisi kitu hasa kama unajilazimisha mambo flan flan.Ushauri wa bure ,come out clean,mwombe mtengane kwa muda ili wewe ujipe nafasi ya kutafakari kwa kina na kujua nini hasa unataka,na ukweli ni kwamba kama destiny yako ni kuwa na huyu wa sasa utamkuta tu na kama hatakuwepo basi hakuwa wa kwako.Best wishes!
 
Back
Top Bottom