Swali?

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Ni kwanini wanaume mkituacha uwaga mnapenda maisha yetu yawe yakuangaika?

Na unakuta mtu umepata mtu anaekupenda na kukujali (kupendana)wengi wenu hupenda kujirudisha na apologize kibaooo, kiukweli waga nashindwa kuelewa waga mnawaza nini na kipindi mnapotuacha waga mnazani hatutongozwi?
 
Wengine wanatambua thamani ya mtu pale anapokuwa mbali...na wengine wanaamua kurudi kwaajili ya revenge.#ndivyo inavyokuwa
 
Mtu hawezi kurudi kama hujampa 'signal za kuwa unam miss'.....
 
Mtu hawezi kurudi kama hujampa 'signal za kuwa unam miss'.....

Wap unakuta mwingine kakuacha kwa mbwembwe.....cjui mtu wa iv unakua umemuonesha sgnal za kua umemmic??
 


Hili jina lako kwanza linanipa mashaka mkuu tumboo

lazina tutarudi maana tuko twingi, may be kangekuwa kamoja yaani single.
 
Last edited by a moderator:

Shosti umesahau msemo adui yako....
 
Hili jina lako kwanza linanipa mashaka mkuu tumboo

lazina tutarudi maana tuko twingi, may be kangekuwa kamoja yaani single.

Au unataka nikugawie kamojaa
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuacha mie hainihusu hii,nimefundishwa kupenda tu
 
maybe who should start to ask what type of men do u ladies date?
 
tumboo vp umempiga kibuti REALITY ndo unataka kuchukua tathimin toka kwetu?...load,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…