Swali

Swali

mie jamani nipo njia panda nachoka kabisa na haya mambo, ni jana tu licmu la mr linaita hapo, alikuwa katoka kidogo, ckuipokea, amerudi huko ameaanza ooh aahh kwanini ckupokea nikamwambia amcal kwenye cm nyingine aliyetoka nayo?...jina lenyewe "mzee j" mie nipo huyo ndio kadadaa hapo nipoke nianze headache saa hizi...nilitulia kama siickii vile, nadhani tu mtu umwachie cm yake afanye atakayo, lakini za mwizi 40...

si bora hata huyo ameandikwa 'mzee j' hata kama ni kiblandina chake.....imagine kama yule shostito wako mumewe alisave sijui 'honey'.....hapo si ndo wafwa kabla hata hiujauliza??
 
Hahaha! Homeboy bana! Hujui kuitumia anapokuwepo. Akiondoka kaisahau am sure unafanya the needful!

Hommie yaani hili nasema kweli kabisa huwaga sina time hizo unless nimeishiwa nimkope ya kwake nipige fasta basi!
 
si bora hata huyo ameandikwa 'mzee j' hata kama ni kiblandina chake.....imagine kama yule shostito wako mumewe alisave sijui 'honey'.....hapo si ndo wafwa kabla hata hiujauliza??

kwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....
 
Ndio hapo sasas ! Huwa nashangaa kukuta kaka ana wivu balaa kwa dada yake! 🙂

Hahahaha lol mbona dada hawi na wivu kwa kaka?
Hehehe hii ipo sana tena mno sijui ni nature
 
Anachotakiwa kufanya ni kumnyamazia kimya na kufanya uchunguzi kimya kimya, na kujua je mkewe napokuwa hayupo huwa anazima pia au huzima akija tu....??????????? huenda ndio utaratibu wake kuzima simu kila usiku uingiapo. Kila mtu ana maamuzi na simu yake. na je kwa nini waishi mikoa tofauti... mke angeenda kuishi na mumewe, km kazi anaweza kuomba uhamisho, au km hiyo ofisi anayofanya ni private anaweza kwenda kutafuta kazi mkoa anaoishi mumewe ili awe karibu na mwenzake na si unajua tena ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO. au FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA.
 
kwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....

kheeee hivi yule dada anaendeleaje tena?? any possibility ya kurudiana au ndoa imekuwa irreparable......
mwee bora uepuke shari ujifanye huoni vile ila hii nayo you have to be prepared for any suprises...
 
hata nikiwa na concern kwa kaka yangu najua anaweza asinisikilize
subiria sasa huyo wifi atavopata kibano............
 
hahaaaaa lol mbona usista tena!!! afu kule ndo raha bin starehe maana wala huna waiwasi kama kwenye ulei mara uhisi unaibiwa......

By the way wewe unapenda uwepo kundi lipi?
Maana naona shem unambania sana kudumisha mila sio vizuri hivyo.
 
Anachotakiwa kufanya ni kumnyamazia kimya na kufanya uchunguzi kimya kimya, na kujua je mkewe napokuwa hayupo huwa anazima pia au huzima akija tu....??????????? huenda ndio utaratibu wake kuzima simu kila usiku uingiapo. Kila mtu ana maamuzi na simu yake. na je kwa nini waishi mikoa tofauti... mke angeenda kuishi na mumewe, km kazi anaweza kuomba uhamisho, au km hiyo ofisi anayofanya ni private anaweza kwenda kutafuta kazi mkoa anaoishi mumewe ili awe karibu na mwenzake na si unajua tena ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO. au FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA.

Domo Kaya unaonaje ukabadili avatar yako? Najua mamushka wangu anaogopa kukuambia ila inamtesa sana!
 
huyu DK na kuna mwingine kaingiza ulimi puani jamani I hate their avatars...disgusting hata post zao huwa staki kusoma tena..........aaah!!
 
kwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....
Sasa nyamayao shemeji kajibuje? Maana lol sipati picha ati
 
huyu DK na kuna mwingine kaingiza ulimi puani jamani I hate their avatars...disgusting hata post zao huwa staki kusoma tena..........aaah!!

Mwone Invisible kuna kaprocess flani hivi kama huwapendi unawapotezea tu
 
kheeee hivi yule dada anaendeleaje tena?? any possibility ya kurudiana au ndoa imekuwa irreparable......
mwee bora uepuke shari ujifanye huoni vile ila hii nayo you have to be prepared for any suprises...

ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
 
Mwone Invisible kuna kaprocess flani hivi kama huwapendi unawapotezea tu

Unaweza kuta unapenda mapointi yao tatizo linakuwa kwenye avatar. Ile ignore list unapotezea kila kitu. Ila kwa m-avatar huu naona itabidi ni do the needful. Ahsante kwa kunikumbusha.
 
ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.

alivokuwa anafanya ujinga akifikiria nini....ngoja ale kwa macho tu na siku zaja hata kwa macho wala harufu hata kula.......acha dada wa watu apumzike kwanza, it was a big shock.......
 
Unaweza kuta unapenda mapointi yao tatizo linakuwa kwenye avatar. Ile ignore list unapotezea kila kitu. Ila kwa m-avatar huu naona itabidi ni do the needful..

Hapo sasa ndo kwenye ishu utakuta kuna jamaa wanazipenda avatar zao sasa umshawishi mpaka akubali ndo kwenye ngoma hapo.
 
Unaweza kuta unapenda mapointi yao tatizo linakuwa kwenye avatar. Ile ignore list unapotezea kila kitu. Ila kwa m-avatar huu naona itabidi ni do the needful. Ahsante kwa kunikumbusha.

papaushka you are very right, mie sina haja na Ignore list bana.......mi naongelea avatar tu........bora signature unaweza kuavoid bt hata hiyo ni ngumu maana macho pale usipotaka ndo yanatazama hapo hapo....
 
ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Ndo mnavoniudhi kwa kujidanganya. Nani alikudanganya mwanaume anakuwa lonely?

Hapo kwenye red..... thubutuuuu! Jamaa akisema SU! Dadako anarudi kwa spidi kali.

Hapo kwenye blue, si mnaona mavyojipa moyo na mnavyojidanganya? Jasiri haachi asili. Bibie atarudi na kidume kitaendelea kudumisha mila. Nikisemaga hivi nyamayao huwa hanipendi, anasema mi mnoko. Lakini huo ndio ukweli wenyewe. Wanaume ndivyo tulivyo. Mbona hamtuelewagi?

Mshukuruni Mungu mmenipata mimi mwanaume jasiri nayetoboa siri zetu. LOL!
 
Hapo sasa ndo kwenye ishu utakuta kuna jamaa wanazipenda avatar zao sasa umshawishi mpaka akubali ndo kwenye ngoma hapo.

Kupenda m-avatar wa namna ile lazima kuna nati moja ya kichina kumkichwa!
 
Hahahaha unajua watu bana tunaishi kimkakati zaidi lazima mtu ajue A,B,C zako sio aje apate shida mtoto wa watu akiwa ndani ya hausi ni vyema ukamweleza mapema simu yangu hugusi bila ridhaa yangu ukigusa mtafaruko.

Heshima Mkuu F,

Kwa nini humwelezi mapema kuwa mwenzio siwezi kuishi bila kudumisha mila ili aamue kabla ya kujivika kitanzi?
 
Back
Top Bottom