Swali

Swali

ndo tiba yenyewe hiyo.....kucheka ni afya mama...............

ewaa B wa ukweli, thats the magic! B unadhani usingekuwa unafurahi ungekuwa na afya kweli ?
 
Hata sijielewi kichwa si kichwa malaria si malaria ili mradi mvurugano. Mwili unaniisha nguvu nashindwa kupumua yaani hata sijielewi Dr nisaidie!!

huyu huyu kakaangu mie ni tabibu kumbe???
 
Sasa nyamayao shemeji kajibuje? Maana lol sipati picha ati

amemwemwanbia sio mambo ya kirahic inabidi watafute na wazee kwanza hawawezi kwenda wao wenyewe, ndio jamaa huko anatafuta wazee akiwezekana waanze wazee then wazee na wao waongozane awamu ya pili.....halafu linaongea huku linalia....
 
Masikini anajutia lol hadi anatia huruma ila noo simhurumii unless unambie ile story ya kumwambia my sisy wangu amemkuta used ni uongo aku!!

Nikukumbuka anaye Blandina huruma yote yanitoka mie!!
 
Ndo mnavoniudhi kwa kujidanganya. Nani alikudanganya mwanaume anakuwa lonely?

Hapo kwenye red..... thubutuuuu! Jamaa akisema SU! Dadako anarudi kwa spidi kali.

Hapo kwenye blue, si mnaona mavyojipa moyo na mnavyojidanganya? Jasiri haachi asili. Bibie atarudi na kidume kitaendelea kudumisha mila. Nikisemaga hivi nyamayao huwa hanipendi, anasema mi mnoko. Lakini huo ndio ukweli wenyewe. Wanaume ndivyo tulivyo. Mbona hamtuelewagi?

Mshukuruni Mungu mmenipata mimi mwanaume jasiri nayetoboa siri zetu. LOL!

mnakuwaga lonely ucndanganye hapo, hata mkitoboa toboa kwa mabaamed bado unamic chako cha rohoni......
 
Utashangaa simu inapigwa saa 2 usiku halafu jina linalotokea, CRDB Azikiwe. Unajiuliza kama benki huwa iko wazi mpaka muda huo!
kweli burudani, masaki umefikiria nini? yaani nimecheka mpaka watu wananishangaa, tutafika tu.
 
Anipunge na madogoli au? Maana nijuavyo huyu si Dr wa ugonjwa wangu mie au?
NI dokta huyo!huwa anafanya training ya udaktari pale chawote.kuna dokta huwa tunakunywa nae huwa anampa training baada ya bia kadhaa🙂
 
Nyamayao naona rafiki zako wengi wanamisukosuko ya mapenzi naona machaguo yao hayakuwa sahihi aidha waliingia kichwa kichwa ndo maana wanakumbwa na dhoruba kali kila kukisha. kukurupuka kuoa au kuolewa baada ya miaka au miezi michache kuna madhara yake ndo haya sasa.

misukosuko ya mapenzi ipo kwa kila binadamu aliyopo kwenye mapenzi, na c frnds zangu hii kitu inatokea kwa yoyote yule, leo wao kesho nyamayao kesho kutwa mwnne, kwenye mapenzi hata uingie kwa kuchagua vipi misukosuko haikosekani kwa namna moja au nyingine.
 
ni kweli mamii, ukumbuke huko nyie wawili kila mtu ana mapungufu yake....
kuna vingine havivumiliki no matter hw patient one could be
hakuna paradise kila siku kwenye maisha ya ndoa/mahusiano siku nyingine ni jehanamu pia
 
Masikini anajutia lol hadi anatia huruma ila noo simhurumii unless unambie ile story ya kumwambia my sisy wangu amemkuta used ni uongo aku!!

Nikukumbuka anaye Blandina huruma yote yanitoka mie!!

MJ1 hapo bado nipo kwenye ile ishu ya zamani mami wangu, khaa pole kwa kuumwa!
 
kweli burudani, masaki umefikiria nini? yaani nimecheka mpaka watu wananishangaa, tutafika tu.

yaani kuna mambo unashindwa kuyaelewa kabisa, sasa ndio huo mfano wa masaki na wife kaiona ndipo hapo anapata kihoro cha kupokea/soma sms....tutafika hata kwa kutambaa walaaah.
 
MJ1 hapo bado nipo kwenye ile ishu ya zamani mami wangu, khaa pole kwa kuumwa!
Ah jamani mnanichanganyia dose sasa maana mie namzungumzia Sisy wa jana alopewa adhabu kali na huyu wa kipigo hadi mimba ikatoka

Nahisi malaria inapanda kichwani. Aksante mamii naona inataka nisije Nai
 
Hivi hayo mambo ya wanaume kuwa wakatili kiasi hicho kwa wake zao yalikuwepo hata enzi za wazazi kuwapangia watoto wao wachumba?

Labda turudi kwenye ''arranged marriages'' watu watakuwa na huruma! Hizi ndoa za kukutana barbarani hizi huchelewi kukuta dada yako kaolewa na ''a retired serial killer''.
 
Back
Top Bottom