Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
Simu ni kama cheti cha kuzaliwa, hakichangiwi;
Simu ni kama kadi ya kupigia kura, haichangiwi;
Simu ni kama kitambulisho cha uraia, hakichangiwi;
Simu ni kama alama za dole gumba, hazifanani na za mtu yeyote hata awe pacha wako!!.....!!!!
Dah hapa mkuu tupo pamoja.
Mi nimewahi mpiga chini mchumba hivi hivi kwa kupekua pekua simu yangu tuna week tu akaanza kuleta za kuleta kwenye simu yangu eti ooh nahaki kuimiliki nikamwambia chako chako changu changu hutaki tembea.