Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Nyamayao naona rafiki zako wengi wanamisukosuko ya mapenzi naona machaguo yao hayakuwa sahihi aidha waliingia kichwa kichwa ndo maana wanakumbwa na dhoruba kali kila kukisha. kukurupuka kuoa au kuolewa baada ya miaka au miezi michache kuna madhara yake ndo haya sasa.