Kama hajawah kufanya mapenzi huyo ni BK, na utamgundua tu kwani huwa waoga waoga sana mara yakwanza, na huwah kupiz kwa kuwa na papara, frm my experience,
Mi sifahamu kama bikra ni "noun",au ni jina...
Ama ni sifa ama kitu gani.. SIJUI..SI UKASOME KAMUSI NDO UJIBU?
Ivi naomba niuleze eti mwanaume hua ana bikira?! Sasa kama hajawahi kufanya mapenzi anajulikanaje?
ivi mwanaume ambaye ajawahi ku do anaitwa nani?Katafute kwanza maana ya bikra halafu ukishajua maana yake ndio utajua kama mwanaume ana bikra au la.