Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Hahahaha hata ukimbie ukizeeka na chini panazeeka na hivi unafanya kazi ofisini huna mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unanishaurije niache kukalia kiti kinacho rotate?[emoji4]
 
Kwahiyo wazeee wa dar hawana nguvu sababu wanakula chips yaiii

Chips hazifai hata kunywea chai. Pata kikombe cha kangara asubuhi huna haja ya chai. Saa nne ugali maziwa teremshia na togwa na karanga.
 
Back
Top Bottom