Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila raheri uwe unapata na pic haaaa haaaaNdiooo niendelee na utafiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila raheri uwe unapata na pic haaaa haaaaNdiooo niendelee na utafiti
Kaka usiondoke jamanNgoja nisepe huu uzi una harufu ya kichochezi sana[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unamuogopa nani chamdeko!?..Miss u jaman hahahha uwiii ngoja ninyamaze
Acha [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Yaani hahahaha acha kabisa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Si kujishaua wewe unazani walio wahuni wahuni ndiyo wajuvi sana mmm mbwembwe tuSasa unajiuliza alifuata nini kama kitandani 0 ....unabaki unameza mate na utamu wako
Hahahahaha ahsante kwa wingiiiii kumbe kitu kinawasha balaaaUkikumbuka alivyokupanga sasa kukutindua anakwambia umeridhika unajibu kiuongo ndioo nimeenjoy mxeeeeew
Waheshimiwa hawa wanafanya kazi maofisini basi jibu lako ni 100%Napenda sana kukujibu ila naogopa kuitwa muhenga maana funzadume Keshaanza. Ila acha nikujibu tu. Kawaida nguvu za kiume huwa zinatunzwa kama mwili unavyotunzwa. Wengi wetu huwa tunaziharibu nguvu zetu ujanani. Tunaziharibu kwa nyeto,ulevi,uvutaji wa sigara,ufinyu wa mazoezi na kujiachia mpaka mwili kutepeta(obesity) Mwanaume yeyote anayeendekeza haya mambo mara nyingi anapofikisha miaka 50 na kuendelea hujikuta anapoteza nguvu za kiume. Na hali hii huwatokea zaidi wale wanaofanya kazi za ofisini zisizohitaji kutumia nguvu. Lakini kwa upande mwingine kama mwanaume atajitunza vyema na kuepuka maisha hatarishi anaweza kuwa na nguvu zake mpaka anafikisha miaka 70 na kuendelea. Hivyo basi suala la nguvu za kiume uzeeni linategemea zaidi maisha ya mtu ujanani.
Ohooo sikuhizi tunakufa mapema kabla ya uzee we jibu tu kwa niaba ya baadaeHii mada ntaijibu nikizeeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie sijui hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiii jaman khaaa alafu nasikia wengine wana kende moja tu
Makubwa haaaa haaa kamgawa mzee wakeNipe huyo niendelee na utafiti
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona wewe unajitoaEbu niache mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]