Swali wana Jamii Forums.

Swali wana Jamii Forums.

Karibu kijana ktk utawala mkuu wa dunia! Huku hakuna kero za kisiasa wa udini wa mkweree! Ni pm nitakufundisha na kukulea chini ya mafundisho ya judanizm (Torati)
 
Kuhalalisha dhambi na kujipenda kupita kiasi kunakopelekea kuwa tayari hata kuua ili upate furaha!
 
Kazi kudanganyana tu hapa. Hakuna kitu kama hicho. Mwamini MUNGU MMOJA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI. Hayo mengine ni mambo ya mashetani tu.
 
si utujulishe nasi tupate fahamu?

ukiwa masonic unapata nafasi ya kukutana na wafanyabiashara wakubwa wenye nguvu kiuchumi. Pia utapata nafasi ya kukutana na viongozi wakubwa serikalini akiwemo rais, maana kila raisi lazima awe masonic.
Pia utakuwa na nguvu za utisho, utaheshimika, watu watakuona wewe kama mungu mdogo haoa duniani.
 
inawezekana pia, hii ni 2011, 11 ni powerful year katika masonic calendar...tutegemee mengi mwaka huu mfano uprise uarabuni, vikombe (ambilikile) ambavyo hutozwa sh 500 ambayo inaalama ya nyoka ambayo pia ni masonic symbol...ni speculation tu...
Inaonekana unajua sana kuhusu hawa jamaa!!
 
The Church argues that
Freemasonry's philosophy is
antithetical to Christian doctrine
and that it is at many times and
places anti-clerical in intent.

Ukipata muda soma kuhusu Jesuit na uhusiano wa moja kwa moja na freemasons.

Alaf tafuta movie ya Tom Cruise titled 'EYES WIDE SHUT' kuna ritual inaitwa ceremony of the millenia ambayo husherekea member wao.
 
biblebelievers.org.au/jesuits.htm

I hope this will give u a snapshot of what exactly you are about to commit yourself.
 
ukiwa na pesa mingi uliyoipata bila jasho na isiyo halali ujue utaifuja hovyo na haina baraka za mungu

Ukiwa nayo unanunua tu hizo baraka za mungu, kwani huwajui free masons wa hapa bingo wanavyopata shavu makanisani na misikitini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom