Swali tata kwenye mapenzi

Swali tata kwenye mapenzi

Mkuu tukiacha jokes nakuelewa,
Manzi umempenda na wewe mpunga huna.
Kwahiyo situation demu anakupenda, ila ndo wewe huwezi kukidhi mahitaji yake ya kiuchumi. Either umwache demu au uvumilie na wewe utafute mpunga umuhudumie.

Haya mambo ndo huwa nikiwaza, naona bira niendelee kuwa single
 
Muhusika n wee mwenyewe, poleeeh kwa yaliyokukuta na uache u marioooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matusi ya nguonii mkuu
Najaribu kuvaa viatu vya mshikaji havivaliki mamaaee....
Dah.. Yani mtu kavurugwa mchana kutwaa...
 
pole mkuu ondoka tu kachukue pumziko Kisha utakuwa na maamuzi sahihi usije kuwa uchebe bure
 
sasa wazee mm niko singo nimetoka kuachwa juzi kati, alafu jobu kwetu kaletwa mtoto wa kimbulu... kwenye uzi wangu wa NAOMBA MBINU ZENU nilielezea, na jana nikawaeleza kuwa mtoto wa kimbulu ameamua kunipa kisela (yani nimekula kimasihara na ntaendelea kula kimasihara mpaka atapo acha kazi) , sasa nashangaa mnao sema huu uzi unanihusu mm niko singo jamani... mm sio mariooo...

Nimewaambia ni mshikaji wangu kakutwa na hilo... nilimshauri kwa kuwa anampenda aendelee ili yakimfika shingoni amuache na awe amekula vingi vya demu na atumie condoms..

Ila naona anasua sua nikasema ngoja niilete JF naeza pata ma aidia ya kijanja zaidi , maana siezi kuacha mwanangu wa dhahabu afe na ngoma kimasihara
 
Ilaa Bongo kina Uchebe wengi sanaa sema hawapigii ngumi tuu...!! Umarioo kazi sanaaa...
Kwanza tuu kuwa anahudumiwa sana na akapokea tuu bila kujua chanzo cha mapato sifa ya kuwa mwanaume inapotea
 
Ila uyo sponsor atakuwa anatokea mkoa gani,,,
Tangia asbh mpaka jion yuko kwa kiuno, Dem itakuwa kamlia mtaji...

Ushauri, waendelee tu Ila jamaa ako ajifunze kutafuta pesa bila ivo uyo mtoto wakike atakuja kuuliwa na sponsor....

Km anampenda, jamaa aongeze bidii kwenye kutafuta pesa maana inaonekana dem hajaridhika na hali ya Msela japo anampenda...


Ila Uyu sponsor au dem kamuingiza kwenye madeni Kwaiyo Anaishi kwa madeni,?
Af je,km alikuja tangu usiku so akakeshanayo na akashinda nayo?

Wapenzi mnaotupenda tusiokuwa na pesa zakuwatosha Poleen sana...
 
Dah! Ilibidi tu mliwe wote maana zawadi za jamaa ulikuwa unazifurahia
 
Ila uyo sponsor atakuwa anatokea mkoa gani,,,
Tangia asbh mpaka jion yuko kwa kiuno, Dem itakuwa kamlia mtaji...

Ushauri, waendelee tu Ila jamaa ako ajifunze kutafuta pesa bila ivo uyo mtoto wakike atakuja kuuliwa na sponsor....

Km anampenda, jamaa aongeze bidii kwenye kutafuta pesa maana inaonekana dem hajaridhika na hali ya Msela japo anampenda...


Ila Uyu sponsor au dem kamuingiza kwenye madeni Kwaiyo Anaishi kwa madeni,?
Af je,km alikuja tangu usiku so akakeshanayo na akashinda nayo?

Wapenzi mnaotupenda tusiokuwa na pesa zakuwatosha Poleen sana...
Kwa kweli mkuu
 
Back
Top Bottom