yaani utakagua ama laaUkiona Manyoya jua kaliwa.
😅😅unampa moyo mwenzio.safi snaUsiwe na mawazo hasi mkuu. Kuuliza hivyo haimaanishi kama alikuwa na mwanaume.
Kwangu mimi zawadi ataleta na akizingua uchebe. Vijana wanashindwa kudictate terms. Wanazingua
Kabisaaa..ila huyo jamaa nae akili yake ni mgando kabisa.ameshindwa kung’amua kabisa!!hihiiii babakeAnafaa kuuguza mgonjwa huyo jamaa 😀 😀
Hahaha hahahhhhhhh. Sina nguvu ya kuwaza mambo ambayo ni hasi.. Chakorii.[emoji28][emoji28]unampa moyo mwenzio.safi sna
Hutaki makuu ee..😅😅hongera snaaHahaha hahahhhhhhh. Sina nguvu ya kuwaza mambo ambayo ni hasi.. Chakorii.
Zawadi alete na discipline juu, si vinginevyoVijanaa wakihongwaa hawana sautii kabisaa kwnye mahusiano yaoo
Mkuu sipendi dharau, hata kama anampunga kunizidi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba akizingua ni uchebe tu hakuna kulemba
Nani tena kakupiga roba, si kwa kutoa macho huku😜😜😳 wewe....mhh
Ahsante sana. Ujue mpaka anaomba ushauri kwetu ujue hana uwezo wa kumuacha huyo dada. Angekuwa na uwezo wa kumuacha angeondoka hiyo jana kimya kimya bila kutoa tangazo.Hutaki makuu ee..[emoji28][emoji28]hongera snaa
Wewe ndie uliyenitia robaNani tena kakupiga roba, si kwa kutoa macho huku😜😜
Zawadi alete na discipline juu, si vinginevyo
Pole mama, sijajua kama ni wewe nakukaba.Wewe ndie uliyenitia roba
Hubu tulijadili hili swala la mleta mada kama kamati pale buckettAiseh
🤪🤪🤪🤪🤪🤪Pole mama, sijajua kama ni wewe nakukaba.
Wigi hilo tatizo ndo maana sijakut ambua