Ha ha.. Uko sawa kwamba ni muunganiko wa motor na hotel. Ulipokosea ni kusema za wasafiri.(unaeza ukawa sawa)....kuna Inn pia
Motel ni muunganiko wa Motor na Hotel, kwa hiyo twaweza kusema ni hotel kwa ajili wa wasafiri wa magari....
Nimekielewa saaaanaa, asanteMkuu,
Nitakufafanulia na nitakutofautishia chache zinazoendana/zinazochanganywa kwa haraka haraka then utacheki nyingine,,
motel vs hotel
Motel ni aina ya facility inayoprovide huduma,mainly malazi plus some fpod n drinks ambayo ipo dedicated kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo binafsi vya usafiri(huwa wanaitwa "motorists",,na ndo asili ya neno mo kwnye "motel")kwa ajili ya mapumziko kidogo kabla ya kuendelea na safari zao
Hizi kwa wanaozijenga wakijua maana yake huwa wana zi locate alongside highways,,mostly kwenye njia za kuingilia na kutokea kwenye miji ili ku capture motorists
Hizi huwa zinakua/zinatakiwa kuwa na 1.garage kidogo kwa ajili ya minor repairs,,
2.fuel filling stations na
3.parking kubwa zaidi ukilinganisha na nyinginezo,,vyote vitatu kwa ajili ya kuserve hao wasafiri wenye vyombo binafsi vya moto
But
Hotel ni facility au biashara inayoaim kutoa accomodation services,good food and drinks,leisure services na refreshments mbalimbali,,inaweza kuwa na gym,swimming pools n more
Hahaaa kaka brotherKatika iyo list mbili tuu ndio hazina hadhi restaurant na cafeteria zingine hizo mzuka baada ya msos na vinywaj unamchukua mchepuko wako taratibu na kwenda kutandaza miti
Nimekielewa saaaanaa, asante
Nimekielewa saaaanaa, asante
asante kwa ufafanuzi mkuuMkuu,