Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki?

Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki?

Kama unasema ni uongo, jaribu kufuatilia mazoezi yake ndipo utajua watu wanajifua haswa kwa kila style ya mapigano ya mieleka. Huenda labda kuna script wanazisoma lakini ngumi, mateke, kupigwa na viti, ngazi, kuvunjiwa meza, mtu mmoja kudundwa na kiringi cha watu n.k hayo ni ya kweli kabisa.
 
weweeeeeeeeee ile ni kweli xema wewe haufuatiliagi mieleka ukitaka kujiunga sharti usaini kufa au kupona we angalia wakati mwengine mtu anapigwa mpaka anashindwa kunyanyuka unadhani masihara hakuna masihara bana watu wanatafuta ushindi halafu wewe unasema ni maigizo tumia akiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Na wewe mbona unatuchanganya bana, huko juu umeuliza swali ina maana hujui kitu; wenye kujua wanakujibu wewe unawapinga sasa kama ulikuwa unajua kwanini uliuliza?
 
RATIBA KUU KUPITIA KINGAMZI CHA STARTIME, channel ya etv ni j3 ni saa 5:30 usiku, J4 Saa tano usiku, J5 ni saa 3:30 na 5:0 usiku, jmoc ni saa kumi na mbili jion, jumapili ni saa sita mchana na saa kumi na mbi jion.... Ni raha sana kuwatch na nikweli kabisa kwan wanavujikaga na kuteguka miguu, mikono,taya n.k
 
Hakuna uongo katika mpambano, ila washiriki wote wamefunzwa vema. Kuna aina ya upigaji isiyo ruhusiwa, na ni ile inayoweza ua mtu.

Ni kawaida ya wabongo kupinga vitu wasivyo jua, ama kuweza
 
ile ni ukweli mtupu mie mwenyewe nashabikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nitajie watano tu unao wafahamu acha upuuzi
kama ni kweli mbona huwa hawatoki damu au macho yangu huwa yana makengeza?siku moja nilimuona mysterio anamla denda demu ulingoni eti kisha demu kanogewa anataka kusaula ampe mambo kabisa,duu ila huu mchezo unazua maswali mengi kuliko majibu.kwa upande wangu asilimia kubwa maigizo japo ukweli upo kidogo.
 
1386827474160.jpg
 
The blood and sweat is real.Punches are real.They get hurt at times.

But the whole thing is 'CHOREOGRAPHED'.Maana ni ya kwamba huwa wanafanya rehearsals.Wanazo scripts ambazo huwa wanafata-mengine yote ni soap opera ama movie.

Niliwahi kuicheki kwenye net ila nimesahau technique yenyewe inaitwa aje.Anyway,washindi hujulikana hata kabla ya game kuanza.

Hao majamaa ambao huonekana mahasimu,huwa wanatuzuga tu e.g. randy orton na big show ni marafiki 2.
One thing that beats the logic in me is how they can manage to pull such a big crowd per show??

By the way,search kwenye Wikipedia.
 
Ile kweli bana,
We mtu anabamizwa na kiti mgongoni unasema uwongo? ?

RKO ya Randy Orton ni uongo??

Spear ya Roman Reign ni uongo??

Side Kick ya Shawn Michael uongo??

Punch ya THE BIG SHOW je??

Sema sasa sheria zake ndo utata! ! Maana mfano THE SHIELD eti watatu wanaweza kuruhusiwa mtu kama Daniel Bryan!!!

michezo yote huwa inaoneshwa live kwenye Olympic, jiulize ushawahi kuona hiyo mieleka?
 
weweeeeeeeeee ile ni kweli xema wewe haufuatiliagi mieleka ukitaka kujiunga sharti usaini kufa au kupona we angalia wakati mwengine mtu anapigwa mpaka anashindwa kunyanyuka unadhani masihara hakuna masihara bana watu wanatafuta ushindi halafu wewe unasema ni maigizo tumia akiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Acha ugebwe wewe. Ina maana wale wanaovuja damu na hatimaye kufa ni kweli? Mbona tunawaona wana act sinema nyingine kila mwaka
 
ni kweli ila wanatumia lpain killer wakiwa ndani ya string
Kaka, ushawahi kuangalia behind the seen ya miereka? Acheni kudanganya watu. Tafuta hizo CD uone wazungu wanavyotudAnganya watu weusi, na wana haki, si sayansi yetu ya Kuruka na ungo bwana!!!!!
 
abu dhabi na Ten sport ukiangalia utaenjoy sana episode ya sasa ndio tamu Randy Orton kama champion wa RAW WWE na JOHN CENA kama bingwa wa SMARK DOWN Heavyweight wanapambana ndani ya SURVIVOR SERIES tamu sana wakati wanatambulisha pambano alikuwapo TRIPPLE H(CEO) a beloved daughter of Mackhon as principle director and a wife of HHH kifupi Randy Orton alipigwa pellegrin wakati yeye ndie alikuwa anamsaidia Randy three times to get championship against DANIEL Bryan mwanafunzi wa Shwan Micheles aliempiga Daniel side kick in the Hell in Cell na kumpa RANDY ubingwa wakati yeye ndie mwalimu wake na ndie rafk mkubwa wa HHH na WWE univesary walimchagua yy kuwa refaree kwakuwa alikuwa mwalimu wa Daniel Bryan na rafiki mkubwa wa CEO(HHH) wakijua angechezehsa fair bali akaamua kumsaliti mwanafunzi wake na mpaka leo hawajaelewana ila katika zawadi za samyy Daniel alipata SUPERSTAR of the year na zawadi alipewa na mwalimu wake aliemfanya afikie pale lakn kwa sasani maadui na Shawan alikuwa representative od wwe alimpa huku akiwa anatembea na celebration participation of fans from YES YES YES YES . Kisa hiki au visa vya mieleka usiombe uvijue ni zaidi ya filamu, comedy au tamthilia ni vitamu sana na hasa akihusishwa JOHN CENA. Ukikumbuka ni juzi tu EPISODE ya BIG SHOW ilifika mpaka mahakamani against baada ya utawala wa WWE kumtumia katika issue zao zilizohusu migogoro na wachezaji na CEO or DIRECTOR sasa utapenda alivyokuwa anatumiwa na ile PUNCH ilikuwa tamu sana mpaka CEO i mean HHH aliipata kwa ushenzi wake kimaamuzi na mpk akamfire lakini kwakuwa waliimtumia vibaya mahakama ilimrudisha.

Ray masterio hajaonekana muda mrefu juzi ameonekana kwenye triplle game ni zaidi ya entertainment na 619 ni balaa tupu na live inaonyeshwa Abu dhabi Channel 6 kuanzia saa 9:15 kuamkia jumanne masaa mawili au matatu na tarehe 22 mwezi huu TEN sports wataonyesha SURVIVOR SERIES yote ni siku ambayo huwezi nitoa home maana ni mapambano ya mikanda kwenda mbele wakati ARSENAL wakiwa wanafanya vibaya hasira za kutokufanya vibaya namalizia huku nkiukweli huwa nasahau kabisa kama ARSENAL walifungwa au hali nzuri
 
Mkuu tafuta survival series ya mwaka 98 kisha tazama pambano la semi final kati ya Ken Shemrock na The Rock.
Hili lilikuwa ni pambano boora kwangu tangu nimeanza kuutazama mchezo huo.

Ila pambano la The Rock na Cena katika Wrestlemania mwaka huu limevunja rekodi na kushika namba 1
 
Iko scripted. Ni maigizo so don't try it at home. Ni sarakasi na entertainment zaidi kuliko kipigo. Make no mistake jamaa wako fit and they train religiously.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom