Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki?

kunai kitu mieleka WWE Huwa najiuliza kunaukweli wowote kwenye hili
kwa mwenye ufahamu wa hili jambo atujuze yawezekana kuna wengi hawana ufahamu nalo kama mie

Hivi wewe kwa akili yako ingelikuwa kweli tungeokota maiti ngapi pale usidanganyike kirahisi raisi holwud tupu ile ndugu mjaribu rafiki yako na sahani tu kichani utapata majibu kama mieleka ni kweli au sio
 
weweeeeeeeeee ile ni kweli xema wewe haufuatiliagi mieleka ukitaka kujiunga sharti usaini kufa au kupona we angalia wakati mwengine mtu anapigwa mpaka anashindwa kunyanyuka unadhani masihara hakuna masihara bana watu wanatafuta ushindi halafu wewe unasema ni maigizo tumia akiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kunai kitu mieleka WWE Huwa najiuliza kunaukweli wowote kwenye hili
kwa mwenye ufahamu wa hili jambo atujuze yawezekana kuna wengi hawana ufahamu nalo kama mie
NITAJIE NI MCHEZO GANI AMBAO REFARII ANARUHUSIWA KUPIGWA...
tumblr_m24fhelBex1qzx70zo1_500.jpg
 
ile ni ukweli mtupu mie mwenyewe nashabikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nitajie watano tu unao wafahamu acha upuuzi
 
yale ni maigizo kwa 100% na huwa wanaandikiwa script za maneno ya kutambiana.......na anayepigwa anajulikana kabla ya mechi
 
Ile kweli bana,
We mtu anabamizwa na kiti mgongoni unasema uwongo? ?

RKO ya Randy Orton ni uongo??

Spear ya Roman Reign ni uongo??

Side Kick ya Shawn Michael uongo??

Punch ya THE BIG SHOW je??

Sema sasa sheria zake ndo utata! ! Maana mfano THE SHIELD eti watatu wanaweza kuruhusiwa mtu kama Daniel Bryan!!!
 
Last edited by a moderator:
kweli mieleka anko ingekua maigizo THE ROCK angeuaje maigizoni wewe. john cena alishateguliwa shingo akakaa out karibia mwaka mzma we unasema maigizo au nenda na wewe ukaigize basi
 
Ile kweli bana,
We mtu anabamizwa na kiti mgongoni unasema uwongo? ?

RKO ya Randy Orton ni uongo??

Spear ya Roman Reign ni uongo??

Side Kick ya Shawn Michael uongo??

Punch ya THE BIG SHOW je??

Sema sasa sheria zake ndo utata! ! Maana mfano THE SHIELD eti watatu wanaweza kuruhusiwa mtu kama Daniel Bryan!!!

Mieleka ni kweli,na sio jambo la kusadikika,

Na ndio kwa maana watu hupewa tahadhari na kuambiwa wasijaribu mchezo ule hadharani kwani ni hatari.

Mkuu shark,punch ya the big show,,nina uhakika jamaa hawez inuka
 
Siku za nyuma mchezo huo ulichezwa sana hapa bongo na watu wa miraba mi4 "mapawa" nawakumbuka baadhi yao km pawa benado,iranda,bukuku,suzuki n.k

Sasa imebaki historia.
 
Ni kama ugomvi wa Mbowe na Zitto, ni UONGO na CCM wamechezeshwa mchezo si wao. Fedha zao zimeliwa na CDM itazidi kuimarika ikiwa na Zitto. Zitto ni TROJAN HORSE ndani ya CCM.....

trojan-horse-troy-film-001.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom