kwa kifupi ule ni mchezo wa kuigiza......hata hapa kwetu tulikuwa na wasanii wa aina hiii...kwa mfano kina kababayeee
power mabula
power mwangata n.k n.k
ni sanaa ambayo husomewa ila kwa bahati mbaya huweza kutokea ajali na mtu akadhurika
ndio maana huto tahadhari kwa watu kutojaribu .............
Mtu anakandamizwa kama ngumi saba za uso na mateke ya kuua ma8 hivii na akitoka hapo hata alama ya mchubuko hana achilia mbali kupasuka na dadika chache baadae yeye ndio mshindi tehe-tehe -tehe michezo mingine lazima kwaza uwe na upungufu wa akili ndio uwe mshabiki wake.
Mie nakumbuka kutazama mieleka miaka ya 90's enzi za akina Hogan,Nash,Macho man,Goldberg etc kupitia KBC walikuwa wakiweka tangazo kwamba some parts are fiction so please,do not try it at home!
...mimi nachojua, huu mchezo % kubwa ni sanaa. Nilishaacha kuangalia huu mchezo. Wakati nilipokuwa naangalia nilikuwa mshabiki wa Ray Mysterio na Greater khali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.