Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki?

Ile kitu ni real wakuu watu wako well trained ....

Real maana yake nini?
Hata James Bond ana train kwa nguvu akiwa anaanda filamu mpya. Jee filamu zake ni "real"??
Mzani, the whole game does not happen spontaneously; it is well coordinated, jama wanapeana signs na hata referee yumo katika kukodinati!!!

Kulikuwa na show moja ambayo ilionyesha jinsi gani ulingo wa wrestling ulivyo jaa masponji, spring, na shock-absorber!
Also, in 1998 NBC television station ya Marekani wali onyesha kipindi walicho kiita Exposed! Pro Wrestling's Greatest Secrets.
The events are officially categorized as "entertainment" to make people understand that they are different from other sports like boxing and football where the outcome is not predetermined.

How else can one explain that it is not real??:shock:
 
Kuhusu kuweka link nadhan usome tu page yao ya wwe.com au usome wikipedia za mchezaji mmoja utaona. Kuhusu kwanin mchezo haupo kweny list sina jib kamili ila kuna watu kama Kurt Angle alishawahi shinda Medali olympic ya 96. Kuna Bob Lashley yeye ameshinda medali za ndani USA. Just google hayo majina utapata maelezo yao kweny wikipedia.
Wapinzani wa Mieleka Utawaona tu Hat hapa Kwetu Tanganika kulikuwa na Wana mieleka Wengi tu Mbona Power Bernado, Mabula, Tx Chaka na wengine Wengi Olympic upo huyo anayesema haupo pengine kafananisha na Mdako ambao haupo kwenye Olympic
 
Mkuu huu mchezo haupo kwenye olimpiki kabisa, acha kuchanganya na michezo ya mieleka ya olimpiki.
Kuna wakati ulizua utata huko USA kuwa ulipe kodi katika category ipi sport au entertainmant, mwisho wa siku unalipa kama kodi kama entertainment na sio sports.
 
Wapinzani wa Mieleka Utawaona tu Hat hapa Kwetu Tanganika kulikuwa na Wana mieleka Wengi tu Mbona Power Bernado, Mabula, Tx Chaka na wengine Wengi Olympic upo huyo anayesema haupo pengine kafananisha na Mdako ambao haupo kwenye Olympic

Sina hakika kama kuna confusion hapa, ila inavyoelekea ni kama hujapitia links zilizotolewa hapo juu. Ili kuondoa mkanganyiko ndio maana kuna mifano ya washiriki imetolewa ili ifahamike hasa mieleka tunayozungumzia hapa. Ndugu yangu, kuna mieleka ianyotabuliwa na olympics na kanuni zake zinafahamika jinsi gani mshindi anapatikana. Hata hapa kwetu mchezo wa mieleka(halisi) ni wa tangu jadi-na utaratibu wa kupata mshindi unafahamika.

Kuna mifano imetolewa ya watu waliowahi kupata medali ktk mashindano ya kimataifa kama olympics. Sikatai, lakini napenda ifahamike kwamba kuna watu ambao mwanzo walikuwa wanashiriki kwenye mieleka (halisi) kabla ya kujiunga na hii ya sasa tunayojadili hapa. So, si ajabu na si dhambi kama walipata medali kwenye mieleka halisi.

Sote tunafahamu wale jamaa ubingwa wao ni wwe championship na vitu kama hivyo, na olympics mabingwa wao wanawatunuku medali kama vile dhahabu(olympics gold medal) nk. Sasa je hao wanaosemwa walipata medali olympcs walipewa zipi kati ya hizo?

Sio kweli kwamba kuna watu wanauchukia mchezo huu, la hasha, na ndio maana tuna ushabiki katika movies kama Bongo Movies nk. Tunaupenda mchezo huu kama entertainments zingine. Kusudi la hii thread lilikuwa kufahamishana ukweli juu ya huu mchezo, na kama unavyoona kuna wanaoamini kuwa huu mchezo ni halisi kama mieleka ya akina nani hao uliowataja hapo, lakini pia kuna wanaoamini kuwa huu ni mchezo wa kuburudisha tu na kwamba umekaa kimaigizo zaidi. Sio lengo la thread hii kuonesha dharau kwa wapenzi wa mchezo huu. Lakini pia tunapokuwa tunajadili ni vema kuwa na evidence ili kuepuka kupotosha wanajamii.
 
Real maana yake nini?
Hata James Bond ana train kwa nguvu akiwa anaanda filamu mpya. Jee filamu zake ni "real"??
Mzani, the whole game does not happen spontaneously; it is well coordinated, jama wanapeana signs na hata referee yumo katika kukodinati!!!

Kulikuwa na show moja ambayo ilionyesha jinsi gani ulingo wa wrestling ulivyo jaa masponji, spring, na shock-absorber!
Also, in 1998 NBC television station ya Marekani wali onyesha kipindi walicho kiita Exposed! Pro Wrestling's Greatest Secrets.
The events are officially categorized as "entertainment" to make people understand that they are different from other sports like boxing and football where the outcome is not predetermined.

How else can one explain that it is not real??:shock:

Baadhi clip za maelezo ya hiyo michezo haya hapa

Last edited by a moderator:
Wakuu WWE is not for real but just play acting. Haina tofauti na jinsi wanvyo act movie. They follow a script and every move is pre-planned. Kama umeangalia hiyo clip ya Youtube hapo juu utaelewa ninamaanisha nini. Kwa uhakika zaidi just go to Youtube and watch some of the clips there.

vp porn ni kweli au maigizo?
 
Jamani mieleka ni jina 2 ivo uchezaji wake unatofautiana kati ya nnchi na nnchi ni kama football pia kuna american football. Hii mieleka ya kawaida tukiachana na ya WWE,TNA, CMLL ARENA MEXICO ni ile ya kuangushana china bila kupigana kama Sumo au kutoana kwenye duala hiyo ndo ukiongelea olympic utaikuta. Mchezo wa namna hyo hauna mvuto sana USA labda Japan ivo wenyewe wakafanya modification kidogo still jina wanaita wrestlin ila ni ya kupigana co kuangushana. Ivo wachezaji wengi wanaanzia ya kwenye kuangushana akiona yupo fit anajiunga na vyama vya mieleka ya kupigana mana ndo inalipa zaid kwa USA na inawapenzi wengi. Mie naamin Mieleka ya kupigana na kuangushana ni kweli. Tyson alitaka kujiunga WWE mwaka 98 au 99 kutokana na mchezo huo kuwa na tofauti ndogo hasa kweny sheria ivo alihisi angeweza na wala akuja WWE kuact mieleka.
 
huo mchezo wa mieleka una viwanja vipatavyo nane hapa ulimwengun na katika Afrika tunacho kimoja kipo south ambacho kinatumika mara nying na crew ya double impact na huo mchezo n acting kama una umakin wa kutosha mtu akipigwa kiti kamera inahama na kwenda kwa mashabik na kuonyesha wakilalamika na kwa report ya kituo kimoja cha televishen mtv wana kipind chao kinaitwa videomaking ndo niliwah kuona jins wanavyotengeneza huo mchezo na kuhusu mafunzo yake kama hauna idea kabisa na huo mcheoy mafunzo yake ni miaka nane kathka vyuo vilivyopo hollywood,atlanta na pia mafunzo ya jr yapo jiang xi,china na kama kwa uwepo wa mashabik najua hata we ni mpenz wa michezo ya kimafia sana na umewahi kuona inakuwaje mtu anakatwa kichwa na kinarukia huko na ndo mashabiki wale wanavyotengenezw,kama una uwezo jitahid usome adobe full ndo utapenda
 
Sio feki na ticket huwa zinauzwa mtandaoni na hata mechi nyingi zinafanyika S. Africa.
 
Du! Yaani wewe ndio umeona kuuza ticket ndio kunafanya WWE isiwe feki? Kwani mazingaombwe si mnalipa kiingilio wakati mnajua kabisa ni feki? Msiwe wavivu jamani, mmewekewa clips za video angalieni basi halafu ndio mchangie.
 
Kama unaamini zile clip tuzionazo zimetengenezwa,, kwanini usiamini pia hizo za hapo juu zimetengenezwa?

Negation of Negation =?
 
Wanaosema ni maigizo wanatoa evidences za video clips na links zinazothibitisha maelezo yao.
Lakini wanaosema ni matukio ya ukweli hawatoi evidences kuthibitisha maelezo yao.

Swali: Tumuamini nani?
 
Kama unaamini zile clip tuzionazo zimetengenezwa,, kwanini usiamini pia hizo za hapo juu zimetengenezwa?

Negation of Negation =?

Its up to you if you want to believe then nothing we say or nothing you see will change your mind. Enjoy the show!!
 
Kila uzi unavyo kwenda zinaibuka hoja za ajabu ajabu tu kusapoti tunacho amini.
Issues hapa sio kiingilio wala watu kujaa ukumbini, wala ajabu sio kuweka magodoro au mazoezi mengi na kula sana.
Issue hapa ni kuwa je nikweli yale matukio ya ulingoni na nje ya ulingoni hayajapangwa?
Maana ya kutumia maneno fake haimaanishi hawarukiani au kuangushana, wala haimaanishi tunachikiona pale ni computerizedn hapanan tunachokiona ndicho wanafanya lakini je wanafanya kwa uhalisia wake au yamepangwa?
Narudia tena kama unataka kujua hawa jamaa wana act basi angalia boxing, kickboxing na michezo mingine inayofanana na hiyo kisha linganisha na hawa jamaa utajua naongea nini
Kitu unaona wana act live kabisa cena anaanza kumpiga mwenzake sijui ni ngumu au makofi na analegea kama mlenda kisha mwenzake from no where anapata nguvu anaanza kumpiga cena na analegea kama mlenda basi mwendo ni kupokezana tu.
Mchezo hauna sheria eti juzi nimeona jamaa alipoona mwenzie kazidiwa kamvuta refa nje ya ulingo kisha kampa kichapo akamvua sare ya urefa akavaa yeye, basi jamaa yake akipigwa akilaliwa anahesabu hadi mbili kisha anaacha, lakini alipopigwa mwingine na jamaa yake kumlalilia jamaa kahesabu fasta na akampa jamaa ushindi na akapewa mkanda huku refarii yupo hoi hajitambui.

Huu mchezo marekani upo kwenye kundi la enterteinmant na sio sports
 
Mkuu hapa tutakesha maana watu hawataki kusikia kitu kinachoitwa entertainment. Wewe hujaona kuna jamaa amesema hapo juu eti anawajua jamaa waliopata medali olympics kwa mchezo huu!

Lakini hata hivyo kuna kila sababu za kuamini kwamba pamoja na matukio kufanyika ulingoni bado kuna baadhi ya clips ni computerized.
 
Mkuu olimpiki kuna mieleka kweli lakini sio hiyo, ile ya olimpiki watu wanaangushana chini tu na si kupiganan rukiana,pigana na vitin kufungiana kwenye cage nk. Wale wa olimpiki ni kuangushana tu basi, na wengi wa washiriki wanatokea nchi za asia kama korea,japn,china nk

Kuhusu kuwa computerized hiyo sina hakika, niachojua ni kuwa yale wanayo yafanya pale walishayafanyia mazoezi ya kutosha kwamba baada ya mimi kufanya hivi wewe utafanya ili iwe vile
 
kunai kitu mieleka WWE Huwa najiuliza kunaukweli wowote kwenye hili
kwa mwenye ufahamu wa hili jambo atujuze yawezekana kuna wengi hawana ufahamu nalo kama mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom