Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Show za mieleka ni Kweli au Feki?

Discussion in 'Sports' started by Mrimi, Nov 29, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu leo natoka kivingine, naomba muweke hapa maujuzi yenu.

  Hivi, kwenye shows za WWE akina John Cena, Batista, Triple H na wengine wengi wanapiga kweli au is just acting?
  Kama ni uongo, inakuwaje, wale mashabiki tunaowaona uwajani vipi?

  Na kama ni kweli mafunzo yake yanapatikana wapi, mbona game zake hazirushwi live, mbona anayeonekana kupigwa sana mwishowe ndio anakuwa mshindi, lkn pia mbona mchezo wenyewe uko USA hakuna sehemu nyingine?

  Mwisho, mbona tunaambiwa DON'T TRY THIS AT HOME wakati boxing au kickboxing tuna try at home bila shida?

  Haya natupia kitu hapa...........
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  swali zuri ila kuna jukwaa lake hapo wapo akina power mabula watakujibu.mods pls move it to related forum
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sina hakika kama nimekosea Forum mkuu. Kuna watu wanasema ile kitu is more computerizes than reality, ndio maana nikaleta hapa watalamu wa IT wa justify validity yake. Sina hakika kama jukwaa la siasa, afya au la watu mashuhuri wanaweza kucomment chochote zaidi ya kuniambia nimetumwa na chama fulani!
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  FEKI....

  real fight ni UFC peke yake
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Cartoon network
   
 6. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,632
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  ile kitu ni kweli,hata kama ni editing hufanywa kuondoa sehemu zinzoweza kumuudhi mtazamaji kama vile kuvuja damu,lugha kali ya matusi n.k. Miili ile ni 'panya wa maabara' I meana jamaa wanakula steroids na strong antipains kama soda vile,njemba zina madaktari wao. Niliwahi kusikia eti wale kuadhimisha 45th birthday huwa ni majaliwa.
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ni feki mkuu. just entertainment
   
 8. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Fake, fake, fake. Cartoon network. Teh teh teh.
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wrestling entertainment is real dude.
  Tatizo wengi wana compare vi-miili vyao na kipigo wanacho weza kuhimili
  vs wacheza mieleka.
  Wale watu wanapitia mafunzo ya mda mrefu sana,kwa mfano,Daniel Obrian kafanya mazoezi hayo kwa
  miaka 13 kabla ya kusajiliw rasmi wwe.
  pamoja na hayo wanakula vyakula vya maana
  tofauti na ugali maharage tunaokula mimi na wewe hapa.
  Pamoja na hayo wana madaktari wao bingwa,kiasi kwamba mda wowote tu akiumia anaweza kutibiwa
  na kuweza kurudi ulingoni mapema sana.
  Nitakupa mifano michache sana kukuonesha uhalisia wa mieleka.

  1.WWE chief operating officer (COO) wa sasa,yaani Triple H,...alivunjwa shingo mwezi huu
  kwenye survivor series na kelvin nash,kwa sababu hiyo anatarajiwa kukosekana ulingoni na kazini
  pia kwa miezi takribani miwili.......Niambie maigizo ambayo watu wana vunjana mashingo.

  2.Edge,mcheza mieleka mashuhuri,mwanzoni mwa mwaka huu wa 2011 ali staafu kucheza
  mieleka baada ya kulazimishwa kufanya hivyo na madaktari wake kufuatia kuvunjika shingo mara tatu
  mfululizo na ikaonekana kwamba akivunjika tena itakua vigumu kupona.
  Hayo ni maigizo?

  3.Owen Hart,alifariki mwaka 1999 ulingoni alipokua akipigana na Blue Blazer,....tokea hapo wrestling entertainment
  imekua ikifanya kila liwezekanalo kuzuia hali kama hiyo ikiwa ni pamoja na kuwa na Medical specialists wengi kila wanapo
  kwenda kucheza.,.....

  4.Sio kwamba mchezo wa mieleka upo USA peke yake,...in fact hata Tanzania wanaweza kucheza wakiamua kwani
  hua wanafanya tour nyingi sana.Kabla ya surviror series ya 20.11.2011 walikua England kwa week mbili.,....
  Lately walikua mexico,wamefungua matawi yao china,wapo na matawi yao south africa,...etc

  I love wresting,.....
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Jamani muwe mnafanya utafiti kabla ya ku comment...ile show sio feki...ni real kabisa ila tu mambo yote wanayoyafanya pale ni kwamba wapo HIGHLY TRAINED for that..wanapitia mazoezi mengi sana na matunzo wanayopata ni ya kipekee maalum kwa ajili hiyo...mbona kuna wachezaji walishawahi kufariki wakiwa jukwaani au kuumia vibaya?? Kuna kufariki feki hapo..!?? Na ndo maana hawarushi live sababu kuna vitu vingi vya ku edit ikiwemo maneno na hata baadhi ya matukio ambayo yanakuwa si rahisi ku display wazi kwa jamii...wale wanaoingia kwenye hizi show ndo wanafaidi kwa kupata vitu live na huwa wanatangazaga wapi watakuwa..bei za tickets na siku watakayokuwa wanafanya show zao...na si kweli kuwa wapo USA tu..south africa wanayo, mexico na hata argentina niliwahi sikia wanayo hii michezo...ishu ni ushabiki tu...mafano marekani ni wapenzi sana wa Basket ball na unafuatiliwa sana kuliko soccer ukiwngalia show zao nyingi za michezo unaweza dhani kuwa basketball inachezwa marekani tu kumbe wapi...ushabiki..!! Tanzania ulete mieleka wakati hata soccer lenyewe ligi yetu inatushinda kuendesha wataweza kumudu gharama za michezo kama mieleka??!!
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Sawa mkuu nimekusoma, ila unaonaje ukipitia hapa Is WWE Wrestling Real Or Fake? kabla ya kwenda nyumbani?!
   
 13. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hapa napo palinishangaza kidogo: Is wrestling fake in any way Hebu pitia hapo ukipata muda boss!!
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hata mimi niko kwenye dilemma. Real OR an Act?! Mi nahisi vyote kwa pamoja. Kwa sababu, kuna kipindi wanaonyesha wanamieleka wawili au watatu wanaongea. Ukiangalia unaona jinsi wanavyoongea ni pure acting. Mara b'dae watabadilikiana, na kupigana huko behind the scene.Watafukuzana.....,sijui..Ila nadhani kuna mawili kwa pamoja,the acting part,na the real part..
   
 15. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Watch this short clip and then decide for yourself!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hulk hogan ni zaidi ya miaka 45, na nature boy pia, to name just a few
   
 17. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  They actually wrestle to a certain degree. Just not to the point to hurt each other as they portray. Yes the writers pick the winners. I wouldn't call it real but I wouldn't classify it as fake either. I guess entertainment is a good description for it.
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nasikia ni kweli lakini bado sijaweza kuamini.
   
 19. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu umepitia hizo links mbili tofauti nilizotoa hapo juu?
  If yes, haven't you seen any cotradiction?
   
 20. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakuu WWE is not for real but just play acting. Haina tofauti na jinsi wanvyo act movie. They follow a script and every move is pre-planned. Kama umeangalia hiyo clip ya Youtube hapo juu utaelewa ninamaanisha nini. Kwa uhakika zaidi just go to Youtube and watch some of the clips there.
   
Loading...