Swali rahisi,lakini......!

Swali rahisi,lakini......!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
What is the largest number that can be written by using only 3 digits?
 
Haiwezi ikawa (9^9)^9 kwasababu

(9^9)^9 = (9)^81
kwahiyo jubu zuri litakuwa (9)^99

Ila mimi nitasema (9!)^99! au kama
hiyo utakataa basi hii 999!

hapana mkuu naona hujanielewa. ninavyosema 9^9 ninamaanisha ni 9 power 9. Hvyo ni sawa na kusema 9x9x9x9x9x9x9x9x9. Ningesema (9^2) hapo sawa ingekuwa 9x9=81. Hivyo hili ndo jibu sahihi kabisa kutokana na mtazamo wangu. (9^9)^9
 
Anyway,what about (9!^9!)^9!
 
hapana mkuu naona hujanielewa. ninavyosema 9^9 ninamaanisha ni 9 power 9. Hvyo ni sawa na kusema 9x9x9x9x9x9x9x9x9. Ningesema (9^2) hapo sawa ingekuwa 9x9=81. Hivyo hili ndo jibu sahihi kabisa kutokana na mtazamo wangu. (9^9)^9

Labda kama nimesahau hesabu lakini hebu tujikumbushe

a^a^a =[ (a^)^a]^a
= (a^)^axa
.
. . 9^9^9 = 9^9x9
whereby 9x9 is an exponent
= 81

Naweza kusahihishwa kama nimekosea
 
Labda kama nimesahau hesabu lakini hebu tujikumbushe

a^a^a =[ (a^)^a]^a
= (a^)^axa
.
. . 9^9^9 = 9^9x9
whereby 9x9 is an exponent
= 81

Naweza kusahihishwa kama nimekosea

hapana, ninavyosema 9^9 ninamaanisha 9power9 na sio 9x9
 
Thanx mr cool,9! Implies [9times8times7times6times5times4times3times2times],shortly dat symbol means the factorial of a certain number, that means 9! is> than plain 9.
 
Thanx mr cool,9! Implies [9times8times7times6times5times4times3times2times],shortly dat symbol means the factorial of a certain number, that means 9! is> than plain 9.

oh ahsante mkuu. Nilikuwa sifahamu hilo
 
Proof that (9!)^99! > (9!^9!)^9!

since
99! = 99x98x97.......x9x8x7x6x5x4x3x2x1
= 99x98x97.......x9!
= (99! - 9!)x9! then
(9!)^99! = (9!)^(9!(99! - 9!) )
= (9!)^9!^(99! -9!)
= (9!^9!)^(99! -9!)
let assume (9!^9!) = a

since
(9!)^99! = a^(99! -9!) and
(9!^9!)^9! = a^9!

then

(9!)^99! > (9!^9!)^9!

mmh Hapa wakali wa hesabu mmekutana
 
duh! Noma 2pu yaani mie mweupe! Anyway jibu la hili ni nini?
 
Japokuwa sina uhakika na mtiririko wa proof yake,nikitumia scientific calculator yangu,chamoto is right.
 
if
(9!^9!)^9! = (9!)^(9!x9!)
and
99! = (99!/9!)(9!)

then
(99!/9!) > (9!x9!)

Therefore
(9!)^99! > (9!^9!)^9!

The Following User Say Thank You to Chamoto For This Useful Post:

Asprin (Today)

Chamoto umetoa jibu sahihi hapo kwenye red!
 
Tuliokuwa tunasinzia kipindi cha hesabu tutakoma hapa!!! Anyway jibu ni nini sasa?
 
Back
Top Bottom