Why has this thread turned out to be comical?
Does it mean watu hawana 'kitu bora' cha kusema instead wanaona, 'bora kusema'?
Au Watanzania hatunaga hiyo mambo ya role models?
Au hakuna Mtanzania ambaye ni worthy enough to be emulated? (iDoubt)
PERSONALLY:
I have several Tanzanians ambao kwangu ningewaita role models wangu ambao in one way or anather, directly or indirectly wamechangia kunifanya niyaishi maisha tofauti and in a better way than I would have (probably) if I hadn't met them.
0. My Dad (Best I ever had...hata sidhani kama anafaa kuwekwa hapa na wengine
#invaluable )
0.5 My Mum (my Personal Financing Advisor)
1. Clement Z. Kwayu (Director BUMACO LTD)
2. The Late, Prof. A. B. C. Ofunguo (Lecturer, MUCCoBS)
3. Mchungaji a.k.a Kiokote a.k.a the Son
tape