Mtu aliyekalia usukani wa gari kwa Tanzania ndie anaheshimika, waliokaa pembeni au nyuma wanaonekana chawa

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
534
1,746
Unajua hii nchi sijui wananchi wake tunashida gani leo unakuta mtu Gari ni lako Ila umempa mshikaji wako au ndugu yako aendeshe na wewe ukakakaa nyuma au pembeni ajabu ni kwamba mfano unakuta traffic kalisimamisha gari Ila mtu anae anza kupokea heshima kubwa na Salam yenye tabasamu ni yule alie kwenye sterling.

Wewe wa pembeni Tena haswa nyuma unadharaulika fulani hivi hata kama Gari lako yani yule anae endesha Gari anapewa hadhi fulani hivi na hii nimeiona Tanzania tu swali ni kwanini anae endesha Gari hasa alie kwenye u sterling ndio anaeonekana Gari ni lake unakuta anaitwa boss boss Kila mara Ila wewe wa pembeni au nyuma wakati Gari ni lako unaonekana chawa na hauna pesa Upo Upo tu.

Sitaki kuamini kwamba watanzania tumefikia hatua ya mtu alie kaa pembeni ya dereva au nyuma anaeonekana si kitu mtafanya sasa tuwe tunang'ang'ania kukaa kwenye sterling za Gari maana hii ni dharau heshimuni watu jamani alie nyuma ya Gari au pembeni ni Sawa TU NA ANAE ENDESHA GARI ACHENI KUPAPARIKA.
Screenshot_20240105-141717.jpg
 
Unajua hii nchi sijui wananchi wake tunashida gani leo unakuta mtu Gari ni lako Ila umempa mshikaji wako au ndugu yako aendeshe na wewe ukakakaa nyuma au pembeni ajabu ni kwamba mfano unakuta traffic kalisimamisha gari Ila mtu anae anza kupokea heshima kubwa na Salam yenye tabasamu ni yule alie kwenye sterling.

Wewe wa pembeni Tena haswa nyuma unadharaulika fulani hivi hata kama Gari lako yani yule anae endesha Gari anapewa hadhi fulani hivi na hii nimeiona Tanzania tu swali ni kwanini anae endesha Gari hasa alie kwenye u sterling ndio anaeonekana Gari ni lake unakuta anaitwa boss boss Kila mara Ila wewe wa pembeni au nyuma wakati Gari ni lako unaonekana chawa na hauna pesa Upo Upo tu.

Sitaki kuamini kwamba watanzania tumefikia hatua ya mtu alie kaa pembeni ya dereva au nyuma anaeonekana si kitu mtafanya sasa tuwe tunang'ang'ania kukaa kwenye sterling za Gari maana hii ni dharau heshimuni watu jamani alie nyuma ya Gari au pembeni ni Sawa TU NA ANAE ENDESHA GARI ACHENI KUPAPARIKA. View attachment 2862505
Message sent.....

Ila kumbuka anayeendesha gari ndio huamua mwendo wake.
 
Usitufokee...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mzee ukiwa na gari usipende kila mtu ajue una gari

Juzi Niko carwash nimesimama karibu na muosha gari Basi alipita mwanagunz mwezangu tulisoma wote shule moja primary alikuwa kbsa Hilo gari Ni langu ilikuwa Ni matako ya nyani wkt langu ilikuwa fielder iliyo chakaa
 
Back
Top Bottom