Swali: Nani Shujaa wako kwa Tanzania?

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
830
91
Wanajukwaa Salaam,
Kila nchi na kila mtu ana shujaa wake. Hii inatokana na mafanikio/mabadiliko fulani aliyoyapata katika kipindi fulani.

Nani shujaa wako kwa Tanzania yetu hii, mpaka hapa tulipo?? Hivi Tanzania inaweza kuwa kama Brunei??
 
Sheikhe PONDA Issa PONDA al-Muheshimwa ; Rijali kwa kukusimama kidete na kugombania HAKI yake...********** hakuna shaka wala utata.
 
Dr slaa na girlfriend wake Josephine Mashumbusi-they are role modal,wanaishi kwa upendo,japo umri umeenda they are still girlfriend and boyfriend


kumbe hawajaoana? kuna kipindi kulivuma maandalizi ya ndoa ambayo ilikuwa ifungwe manyara. nijuzeni
 
Mi nahisi mpaka sasa Babu wa Loliondo kafunika na dunia itaendelea kuona aftermath ya shughuli yake!
 
Why has this thread turned out to be comical?

Does it mean watu hawana 'kitu bora' cha kusema instead wanaona, 'bora kusema'?

Au Watanzania hatunaga hiyo mambo ya role models?

Au hakuna Mtanzania ambaye ni worthy enough to be emulated? (iDoubt)

PERSONALLY:

I have several Tanzanians ambao kwangu ningewaita role models wangu ambao in one way or anather, directly or indirectly wamechangia kunifanya niyaishi maisha tofauti and in a better way than I would have (probably) if I hadn't met them.

0. My Dad (Best I ever had...hata sidhani kama anafaa kuwekwa hapa na wengine #invaluable )

0.5 My Mum (my Personal Financing Advisor)

1. Clement Z. Kwayu (Director BUMACO LTD)

2. The Late, Prof. A. B. C. Ofunguo (Lecturer, MUCCoBS)

3. Mchungaji a.k.a Kiokote a.k.a the Son :)tape:)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom