Swali na Jibu: Kwanini Wanamnyemelea Magufuli?

Swali na Jibu: Kwanini Wanamnyemelea Magufuli?

Pengine wapinzani wanaonekana mstari wa mbele kutaka Rais afeli lakini naamini, baadhi ya wakubwa wa watawala wanatamani Mheshimiwa aongoze miaka hii 5 tu wamng'oe kura za maoni but..
huo ndio ukweli wapinzani wengi ni wameshazoea kushida njaa lakini kuna wakubwa wengi ndani ya chama walizoea mteemko sasa mirija imekatwa hao ndio wanampinga kama wapinga kristo
 
Back
Top Bottom