Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 4,413
- 3,334
Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
Swali muhimu hili mkuu la kisayansi. Sayansi unafanya utafiti wa Kila kitu.🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Nice replySwali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashomoya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika.