Huo ni unafiki, mabomu hayajotokea Mbagala hata Gongo la Mboto yalilipuka, kuhusu kukojolea msahafu na kuchomwa makanisa pia sio mbagala tu, kuna sehemu kama Bagamoyo na nyingine nyingi tu msahafu ulikojilewa na Makanisa yamechomwa Zanzibar, kuhusu kukodi Matalumbeta utamaduni huo haupo Mbagala, labda maeneo ya Buguruni, Manzese na maeneo yanayozunguka maeneo tajwa, na kuhusu watu kugandana tukio hilo la Kupikwa halikutokea Mbagala linadaiwa lilitokea Temeke, kwahiyo acha Uzushi labda wewe ndio Umelaaaniwa! Wambagala Uwaache Wapume haaa!
Hata ukumbi wa Dar live upo Mbagala.
Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.
Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.
Ilianza Popobawa.
Akatokea Simba mla watu,
Yakaja mabomu,
Mara Msahafu umekojolewa na Makanisa kuchomwa,
Juzi tena watu wamegandana Tigo.
Jamani Mbagala kunanini???
Mkuu swala la kukodi matarumbeta lipo nimelishuhudia zaidi ya mara tatu. Mi mwenyewe nakaa chasimba (ahead of Matitu)
Sasa swala la kukodi matarumbeta ndio laana? Sema hizo shughuli zinafanywa maeneo mengi tu uswahilini kama wewe mwenyeji wa Dar ( sio wa kuja) utakubaliana na mimi.
Mkuu umefanya nimecheka sana, weekend yangu itakuwa nzuri
Mkuu sorry naomba uniremove kwenye tag list yako siitaji kusoma kila news..... i like siasa news...
Taratibu mkuu, mi sijasema ni laana, nimesema ni mambo yanayofanyika maeneo yenye wazawa wengi.
Mkuu sorry naomba uniremove kwenye tag list yako siitaji kusoma kila news..... i like siasa news...
Na hiyo ya simba mla watu?!Huo ni unafiki, mabomu hayajotokea Mbagala hata Gongo la Mboto yalilipuka, kuhusu kukojolea msahafu na kuchomwa makanisa pia sio mbagala tu, kuna sehemu kama Bagamoyo na nyingine nyingi tu msahafu ulikojilewa na Makanisa yamechomwa Zanzibar, kuhusu kukodi Matalumbeta utamaduni huo haupo Mbagala, labda maeneo ya Buguruni, Manzese na maeneo yanayozunguka maeneo tajwa, na kuhusu watu kugandana tukio hilo la Kupikwa halikutokea Mbagala linadaiwa lilitokea Temeke, kwahiyo acha Uzushi labda wewe ndio Umelaaaniwa! Wambagala Uwaache Wapume haaa!