Swali langu hili wengi humu wata fail

Swali langu hili wengi humu wata fail

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,292
Reaction score
6,693
upload_2017-1-19_2-36-9.png
 
Jibu ni D, mchanganuo, elfu 10 iliyokwenda kwa jirani, 8000 + na mkate jumla elfu 10 so inakuwa umepata hasara ya sh 20,000
Kumbuka 10000/- hata kama ni feki haikuwa yake ilikuwa ya mteja.
 
kumbe mfano! hata jibu litakuwa la mfano
 
Hasara ni chenji ya 8,000 na mkate wa 2,000 jumla 10,000. Kumi aliompa jirani haihusiki kwa sababu mwanzo hakutoa hivyo ni just replacement
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom