Swali langu hili wengi humu wata fail

hasara ni 20,000. kwasababu.
1. Mteja amechukua mkate wa sh.2000

2. Mteja amechukua 8000 kama chenji.

3. wewe umempa jirani wa chenji 10,000.
alfu mbili ya mkate+elfu 8000 chenji kwa mwizi....ukijumlisha na alfu 10,000 uliyomrudishia jirani baada ya kukurudishia feki, unapata hasara ya 20,000.

hakuna jibu lingine, nimepata.
 
Kweli disabled so lazima as kwenye wheelchair. .. hapo hasara no 12000/-
 
mlemavu nani sasa hapo. alfu kumi na mbili kivipi?..angalia tapeli kaleta alfu kumi feki akachukua mkate wako wa alfu 2000 akapewa chenji ya 8000 akaondoka, hapo kishamtia hasara mangi alfu 10,000 nzima (2000+8000=10,000). kule alikochukua hela kwa jirani akaletewa alfu 10,000 yake na kuachiwa alfu kumi feki,....sasa alfu kumi ile ya mwanzo ya mkate na chenji + alfu kumi aliyomrudishia jirani ili yeye abaki na feki yake aliyotapeliwa...jumla hasara ni alfu 20,000. usipoelewa hapa wewe utakuwa unatoka chama cha mapinduzi.
 
BIG NO....

Hasara ni 10000 tu
 
BIG NO....

Hasara ni 10000 tu
kumbuka hapo yule tapeli kaondoka na mkate wa alfu 2000 na umemrudishia chenji 8000...hapo tu sh ngapi?

alafu, yule jirani uliyempa buku kumi aichenji, amekurudishia kuwa ni feki na wewe umempa alfu 10,000 yako.

tapeli amekusababishia alfu kumi ya mkate na chenji, afu jirani kakusababishia hasara ya alfu kumi uliyomrudishia akakuachia feki. mbona rahisi tu? au fanya mnyumbulisho nikuelewe.
 
Huyo unayebishana naye atakua amesoma arts hapo ni sawa na kumpa tapeli mkate na elfu nane na jirani naye kumpa elfu kumi bure hasara elfu 20 maswali ya TOEFL hayo
 
Back
Top Bottom