Swali langu kwa wanaJF:

Swali langu kwa wanaJF:

XASKEYGY

Senior Member
Joined
Mar 29, 2020
Posts
134
Reaction score
116
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

So swali langu ni hili:

Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?

Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
 
Obama alishasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."

Hivi vyeo kwa sasa vimekaa kisiasa zaidi kuliko kimaendeleo, na ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kazi zote wanazofanya zinaweza kufanywa vizuri tu na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Lakini pia Kuwe na mfumo wa kisheria unaoruhusu wananchi kupiga kura ya kuwaondoa wabunge au viongozi kabla ya miaka mitano kuisha kama hawatekelezi ahadi zao. Hii itawafanya viongozi wawe accountable masaa 24, na sio kusubiri mpaka uchaguzi mkuu ukaribie ndio waanze kujipendekeza tena.
 
1. Serikali za majimbo, kila jimbo likusanye pesa zake lifanye maendeleo yake.

2. Sheria ya kifo au kifungo cha maisha kwa mafisadi.

3. Mfumo wa uongozi wa serikali ambao ni meritocracy (vigezo maaluma vya kitaaluma na uzoefu mahususi)
 
Obama alishasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."

Hivi vyeo kwa sasa vimekaa kisiasa zaidi kuliko kimaendeleo, na ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kazi zote wanazofanya zinaweza kufanywa vizuri tu na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Lakini pia Kuwe na mfumo wa kisheria unaoruhusu wananchi kupiga kura ya kuwaondoa wabunge au viongozi kabla ya miaka mitano kuisha kama hawatekelezi ahadi zao. Hii itawafanya viongozi wawe accountable masaa 24, na sio kusubiri mpaka uchaguzi mkuu ukaribie ndio waanze kujipendekeza tena.

Ushauri mzuri sana Mkuu
 
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

So swali langu ni hili:

Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?

Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Katiba mpya kwanza ambayo hata hao ccm watashika dola kwa njia sahihi sio hizi za uchochoroni ndio maana hawaoni haja ya kuwajibika kwa wananchi wao
 
1. Katiba iliyopo na inatosha
-ni kuitumia katiba hii kusimamia rasilimali za tz.

2. Kutumia jeshi katika miradi mingi ya ujenzi na aina zake, hususani ambayo haihitaji teknolojia ya juu

3. Kupandikiza wanafunzi katika nchi zilizoendelea kiteknolojia ili wavune maarifa

4. Kujitoa ufahamu na kupitia upya mikataba yote ya rasimali za nchi

5. Kuhakikisha kila mtanzania anafanya kazi kwa bidii.

6. hakuna watu watakaoishi kwa shida kama mafisadi na wala rushwa.

NB
1. MM SI MUUMINI WA DEMOKRASIA KIIVYOO

2. UPINZANI HUSUSANI WA TANZANIA HAUJAWAHI KUWA NA DIRA NA NDOTO YA KIMAENDELEO TZ
 
Lissu kwenye speech yake moja alizungumzia kuhusu katiba bora + strong institutions, akatoa mfano hata yeye akiwa Rais akakengeuka ni katiba inapaswa kumuwajibisha.

Swali kwako mleta mada , sasa hivi Samia anavyomis behave wewe kama mwananchi unaweza kumfanya nini?

Wakenya wakisema tukutane mahakamani huwa unaelewa nini?
 
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

So swali langu ni hili:

Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?

Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

So swali langu ni hili:

Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?

Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Mimi ningebadilisha mambo matatu:

1. Uwajibikaji wa viongozi – kila mwenye mamlaka awajibike kwa matokeo na matumizi ya fedha za umma.
2. Uhuru na nguvu ya taasisi – taasisi zisimamiwe kwa sheria, si matakwa ya watu binafsi.
3. Mfumo wa uchaguzi – uwe huru, wa haki na unaoaminika ili wananchi waamue viongozi wao kwa imani.

Kwangu, kubadilisha chama bila kubadilisha mfumo kunaweza kutuletea sura mpya zenye matatizo yale yale.
 
1. Maboresho ya Katiba
2. Kusimamia Rasilimali za nchi ipasavyo na kuhakikisha wananchi wote Wana nufaika nazo.
3. Kutenga Siku maalumu (Ijumaa) kwa ajili ya kunyonga hadharani
Mafisadi,Majizi,Majambazi,Walaghai,wapuuzi puuzi wote wanao Rudisha nyuma maendele ya Taifa.
 
Lissu kwenye speech yake moja alizungumzia kuhusu katiba bora + strong institutions, akatoa mfano hata yeye akiwa Rais akakengeuka ni katiba inapaswa kumuwajibisha.

Swali kwako mleta mada , sasa hivi Samia anavyomis behave wewe kama mwananchi unaweza kumfanya nini?

Wakenya wakisema tukutane mahakamani huwa unaelewa nini?

Shida kubwa Urais ni taasisi inayoendeshwa na watu wengi...
 
Sahihi kabisa, pamoja na hilo kunapaswa kuwa kuwa na taasisi ya kuiweka hiyo taasisi ya urais kwenye check and balance, Ambapo ideally ni bunge…. lakini practically kwa hapa kwetu tunafahamu kuwa wabunge wanapatikanaje…. Wabunge wote wa chama dola kuna mkono/hisani ya mwenyekiti wao wa chama ambaye ndiye Rais kwa kofia nyingine.

Katiba yetu ni spider web, mbovu kweli kweli.

Matatizo yetu walau kwa 70% yanasababishwa na ubovu wa uongozi.
 
Chama tawala kikiondoka kinaacha madeni makubwa kisha kinahakikisha kinakomba pesa zote za akiba. Mpinzani yoyote Afrika akiingia anakuwa kama anaanza moja kujenga nchi. Na hawezi kuthubutu kuja na sera za kubana matumizi maana kelele zitakazopigwa ni za hatari.

Atachofanya ni kuamua kuendelea kukopa tu na kuendana na sera za IMF na WB na mabeberu. Mambo yatakuwa yale yale au hata mabaya zaidi. Huu ndiyo ubaya wa demokrasia. Mtu anatapanya mali akijua mzigo utamuangikia anayekuja.
 
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

So swali langu ni hili:

Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?

Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
  1. Katiba
  2. Katiba
  3. Katiba
P.
 
Obama alishasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."

Hivi vyeo kwa sasa vimekaa kisiasa zaidi kuliko kimaendeleo, na ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kazi zote wanazofanya zinaweza kufanywa vizuri tu na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Lakini pia Kuwe na mfumo wa kisheria unaoruhusu wananchi kupiga kura ya kuwaondoa wabunge au viongozi kabla ya miaka mitano kuisha kama hawatekelezi ahadi zao. Hii itawafanya viongozi wawe accountable masaa 24, na sio kusubiri mpaka uchaguzi mkuu ukaribie ndio waanze kujipendekeza tena.

Naunga mkono hoja.
 
Lissu kwenye speech yake moja alizungumzia kuhusu katiba bora + strong institutions, akatoa mfano hata yeye akiwa Rais akakengeuka ni katiba inapaswa kumuwajibisha.

Swali kwako mleta mada , sasa hivi Samia anavyomis behave wewe kama mwananchi unaweza kumfanya nini?

Wakenya wakisema tukutane mahakamani huwa unaelewa nini?

Hawezi kuelewa huyo.
 
Sahihi kabisa, pamoja na hilo kunapaswa kuwa kuwa na taasisi ya kuiweka hiyo taasisi ya urais kwenye check and balance, Ambapo ideally ni bunge…. lakini practically kwa hapa kwetu tunafahamu kuwa wabunge wanapatikanaje…. Wabunge wote wa chama dola kuna mkono/hisani ya mwenyekiti wao wa chama ambaye ndiye Rais kwa kofia nyingine.

Katiba yetu ni spider web, mbovu kweli kweli.

Matatizo yetu walau kwa 70% yanasababishwa na ubovu wa uongozi.

Sio 70% ni 100% kabisa.
 
Back
Top Bottom