View attachment 82109
Nimeunganisha matukio tu........................................
Namuona Prof.M anavyoserebuka Blues na dada yetu Badra M. Naona wakipanga mikakati ya kuendeleza kuunguza majengo yetu.View attachment 82109
Nimeunganisha matukio tu........................................
Nimejikuta nacheka sana.
Mie nimemuona, pamoja na giza lote lile. Ni yule anayekata keki pale mbele kabisa!Sasa Badra tutamuonaje huko gizani? alafu huyo kishoka hapo nyuma anaitwa Kayembe.