Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,775
- 699,174
Mkiambiwa kweli mnasema chuki, nakupa ruksa, rudia post zangu uweke hapa ushahidi wa hiyo chuki, utachokikuta useme kuwa hapa haikuwa hivi ilikuwa hivi, haya anza.
Huwezi kuiongolea taasisi ya Urais bila kumtaja Rais wa awamu hiyo, rejea hadidu zote za kisomi, atajwae ni rais, usiwe punguani.
Sasa wewe onesha yaliofanywa kwa Tanzania hii na awamu zote zilizopita, ya kwanza, ya pili, ya tatu na mimi ntakuonesha kuwa awamu ya nne imefanya zaidi ya zote hizo kwa pamoja. Kinakushinda nini?
Hv post zako bila kutumia matusi naona hupati raha ????