Stimavoltage
Member
- Oct 18, 2018
- 16
- 8
Ningependa kufahamu juu ya zile asilimia za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu je!? Kila asilimia moja huwa inakuwa na thamani ya shilingi ngapi!?
msaada wenu wakuu wangu ๐๐๐๐๐๐
msaada wenu wakuu wangu ๐๐๐๐๐๐