Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Oh nimeona ulichoandika.
Sasa kwa nini walikupa ban wakati mimi hilo Richard Mugizi wala sio jina langu?
Hahahahaaaa hawa jamaa bana.
Mi siitwi Richard Mugizi.....
Huyu Mod labda atakuwa mgeni, otherwise angewauliza wenzake angeelewa kwa nini nilikutania vile.
Yaani sasa hivi ban ziko nje nje.