Daah! Nilitaka kuandika "miss you very much"! Ndiyo hivyo tena. Sijaandika mkuu. Hahahahaaa!Una uhakika? Nipo mkuu sema hunioni tu
Hahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi... Khantwe, do you know that I,Kwa nini hujaandika sasa hivi unajua raha ya kusikia kuwa unamisiwa?
Hahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi, Khantwe, do you know that I, Moisemusajiografii, miss you very much? That could be marvelous, huh?Kwa nini hujaandika sasa hivi unajua raha ya kusikia kuwa unamisiwa?
Woow nitafurahije... nitamcc na Heaven Sent akamhabarishe mama yakeHahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi... Khantwe, do you know that I,
Hahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi, Khantwe, do you know that I, Moisemusajiografii, miss you very much? That could be marvelous, huh?
What a lovely reply! Munching your kisses, boss!Woow nitafurahije... nitamcc na Heaven Sent akamhabarishe mama yake
Hahahahaaa! Kipi ambacho hupendi afanane nawe!Ndiyo but siyo zoote
Hahahahaaa! Kipi ambacho hupendi afanane nawe!
Hahahahaaa! Haya boss. Ntaandika kwa kikurya.Ila utakapoandika usitumie hiki kikristo maana ni janga
yaani kama mimi kuna vitu vingine vya kawaida ila vinanikera hatari...sitaki mwanangu awe mimi kwa kweli japo sitaki awe completely opposite of meKuna baadhi ya vitu mm sivipendi, lkn vinamanufaa mazuri km ukiwa makini, na nihaki ya kila mmoja kwahiyo sitaki mwanangu aje kuwa hivyo