Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,884
- 54,128
Ndiyo. Maana hamna namna. "Chingeresa" kimenishinda.Kikurya tena
Ndiyo. Maana hamna namna. "Chingeresa" kimenishinda.Kikurya tena
Kabisa kabisa 100%Are u sure?
Nikweli vipo baadhi utapenda aviridhi, vipo pia vingine hutopenda awe navyoyaani kama mimi kuna vitu vingine vya kawaida ila vinanikera hatari...sitaki mwanangu awe mimi kwa kweli japo sitaki awe completely opposite of me
Bila shaka...
hehehe nicheke mie, pole sana shoga anguWoow nitafurahije... nitamcc na Heaven Sent akamhabarishe mama yake
Eeeh ila aongeze ukorofi kidogo, coz me ni mpole sanaUmbea tu hebu jibu swali
mfano wa hivyo vitu....!Kuna baadhi ya vitu mm sivipendi, lkn vinamanufaa mazuri km ukiwa makini, na nihaki ya kila mmoja kwahiyo sitaki mwanangu aje kuwa hivyo
aongeze, me mpole sanaunamaanisha apunguze au aongeze