Swali la leo

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,409
119,108
Swali+la+kizushi.jpg
 
Kwa nini hujaandika sasa hivi unajua raha ya kusikia kuwa unamisiwa?
Hahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi... Khantwe, do you know that I,

Hahahahaaa! Ntaandika waraka mzuuri nijieleze ninavyokumisi mkuu. Nitaanza hivi, Khantwe, do you know that I, Moisemusajiografii, miss you very much? That could be marvelous, huh?
 
Woow nitafurahije... nitamcc na Heaven Sent akamhabarishe mama yake
 
Kuna baadhi ya vitu mm sivipendi, lkn vinamanufaa mazuri km ukiwa makini, na nihaki ya kila mmoja kwahiyo sitaki mwanangu aje kuwa hivyo
yaani kama mimi kuna vitu vingine vya kawaida ila vinanikera hatari...sitaki mwanangu awe mimi kwa kweli japo sitaki awe completely opposite of me
 
Back
Top Bottom