Swali la kumbukumbu: Unajuta au hujuti kumchagua/kutomchagua Rais, Mbunge na Diwani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Tarehe kama ya leo mwaka jana, 25/10/2015, uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ulifanyika. Ilikuwa ndiyo tarehe hasa ya kufanya maamuzi kwa maana ya kupiga kura.

Je, kwa Rais, Mbunge au Diwani uliyemchagua au aliyechaguliwa, unajuta au hujuti? Kwanini unajuta au hujuti?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom