maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,046
- 4,608
Ingekua siku moja kabla ya kufa unapewa nafasi ya kuchagua kitu kimoja cha kuzikwa nacho, Wewe mwana Jf mwenzangu ungechagua kitu gani?
Mimi kivyangu ningechagua smart phone yangu tu iwe na application yangu pendwa Jamii Forum no more.
Uzi huu unaweza kusaidia kujuana kwa kupitia kufahamu mwenzako anapendelea nini
Uzi unaendelea, karibuni