Swali la kizushi

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Will Michael Jackson's Thriller Record Ever Be Broken?? Will His Uncomparable Career Ever Be Repeated?? In Short Will There Ever Be A Bigger Superstar Than MICHAEL JACKSON??
 
Depends mkuu kuhusu swali lako la pili na la tatu some people might argue the Beatles and Elvis Presley had more of an outstanding career in terms of record sales... Yes the man was great, I think so too, but who is the Bigger Superstar is debatable especially after the Michaels shenanigans.. even the likes of ABBA as well were popular though their careers were not as long as michaels
 
Unajua Marilyn Monroe alivo kufa watu waliuliza hilo swali? Na Elvis prestley, na Bob Marley, na Tupac etc. Inategemea wewe ulikua generation gani na mziki upi ulikua unakupa furaha zaidi.
Nina mdogo wangu ana myaka 21 hajui hata mwimbo mmoja wa MJ. Ila anajua several za Bob Marley. Kwake yeye MJ hakua iconic kama unavo muona yeye.
Kumbuka ukiwa superstar kuna part 2 ya maisha yako watu wanafatilia: talent yako (kipaji) na life style yako (Udaku). Ukibalance hivyo viwili sawa sawa ndio unakua superstar. Cheki Tracy Chapman. Mama ana kipaji kweli ila lifestyle yake ni boring kwa baadhi ya fans. Sasa angalia mtu kama wema. talent yake haionekani ila yupo kila siku katika gazeti za udaku.
watu kama hao niliwataja ni watu walikua na talent kubwa sana na pia namna yao ya kuishi ilikua very interesting na inadraw attention.
Kwa namna hiyo, LAZIMA kutakua na watu watakuja na wapate sifa kama ya MJ ila kama wewe una penda pop watakuja na kuondoka bila wewe kuwaona.
 
Unajua Marilyn Monroe alivo kufa watu waliuliza hilo swali? Na Elvis prestley, na Bob Marley, na Tupac etc. Inategemea wewe ulikua generation gani na mziki upi ulikua unakupa furaha zaidi.Nina mdogo wangu ana myaka 21 hajui hata mwimbo mmoja wa MJ. Ila anajua several za Bob Marley. Kwake yeye MJ hakua iconic kama unavo muona yeye.Kumbuka ukiwa superstar kuna part 2 ya maisha yako watu wanafatilia: talent yako (kipaji) na life style yako (Udaku). Ukibalance hivyo viwili sawa sawa ndio unakua superstar. Cheki Tracy Chapman. Mama ana kipaji kweli ila lifestyle yake ni boring kwa baadhi ya fans. Sasa angalia mtu kama wema. talent yake haionekani ila yupo kila siku katika gazeti za udaku. watu kama hao niliwataja ni watu walikua na talent kubwa sana na pia namna yao ya kuishi ilikua very interesting na inadraw attention.Kwa namna hiyo, LAZIMA kutakua na watu watakuja na wapate sifa kama ya MJ ila kama wewe una penda pop watakuja na kuondoka bila wewe kuwaona.
Nakubali na ninakataa vilevile! Mbona kwenye soka hakuna aliyempiku PELE? watu wanahisi labda messi lakini messi hawezi kumfikia hata kidogo!
 
Nakubali na ninakataa vilevile! Mbona kwenye soka hakuna aliyempiku PELE? watu wanahisi labda messi lakini messi hawezi kumfikia hata kidogo!

Mkuu ngoja nikupe stats kidogo tu za jamaa mmoja ambaye huko Argentina watu wanamwona kama Mungu...
  • Win the world cup na timu ya kawaida tofauti na pele alikuwa surrounded na talent
  • alikwenda kuchezea seriea a (italy) akachezea timu inayoitwa Napoli ilikuwa a bottom team, na single handed akaifanya hiyo timu ikachukua serie A
His name is Diego Almando Maradona
 
Wacko jacko was n will always remain 2 b the legend n the king of pop ever existed!
 
Hivi huyu alifanya nini zaidi ya ku-act a few movies as a supporting actress na kuwa na some gossip labda alitembea na president kennedy

Marilyn Monroe amebakia kwenye historia kuwa ni controversial figure jinsi alivyofariki (conspiracy theories), na jinsi alivyowachanganya Kennedy na mdogo wake Robert - jee alijiua kutokana na overdose ya drugs au ilipangwa ili kuficha aibu ya hao wajamaa?. Ile picha yake moja ambayo amevaa gauni nyeupe inachukuliwa na upepo na yeye anazuia huwa inatumika mpaka leo. Utadhani kama amekufa juzi na kumbe ni miaka karibu hamsini nyuma
 
Back
Top Bottom