wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,974
- 27,209
Kama kawaida yangu mimi wa stendi wakuu poleni na mihangaiko yenu!!katika kukakaakaa stendi huwa napendaga kujiuliza maswali mwenyewe na hapo hapo nikikosa hibu napenda kishirikisha na wenzangu!!! Swali linyewe linahusu hiki chombo cha usafiri kinachoitwa elikopta!!!hivi wakuu elikopta ikiwa angani inaenda kama nikaweza kuzuia yale mapanga kwa juu yasizunguke!!!swali langu hapo ni jee!!lile jumba la chini litazunguka???nawasilisha wakuu!!!