wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule aliyechora ramani ya dunia yeye alikuwa amekaa wapi.
Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?
Nawasilisha...
Namaanisha alikuwa ndani ya ule mhimili au alikuwa nje ya ramani na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gani sasa?
Nawasilisha...