Swali la kizushi kwa Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Mkumbo na Wanachadema

Mohamed, kweli wewe ndo the only great thinker hapa jf.
Unatakiwa kufahamu kwamba huwezi kujisifia sana mbele ya watu hapa jf kwamba wewe ni bora kuliko wengine.
Nimekuona kule kwenye thread ya mtatiro ulivyokuwa unapandisha mabega juu kwamba unatumia pc yako wengine wanatumia za waajiri wao. Sasa huu kama sio ulimbukeni ni nini? Watu tumekutana hapa jf kila mmoja kwa namna yake sasa mtu unapoishiwa hoja ukaanza
kuleta vioja si tunakuangalia tu, na kusema nawewe kiistaarabu sio kwamba hatujui jino kwa jino.

sasa kama unajua kwamba roma haikujengwa kwa siku moja mbona unaikejeli cdm kutokuwa na mwakilishi visiwani zanzibar? Halafu unasema cdm ina wanaharakati, haina wanadiplomasia kweli wewe unaijua siasa ya kwetu ama umejawa jazba za cuf?

Samahani mkuu sunifikirie vibaya na siku zote mimi nipo radhi kukosolewa. Mimi sijioni kuwa n geat thinker kuwashinda watu kama M.M Mwanakijiji.

Nadhani si busara kufanyiana mambo ya jino kwa jino mtu akitoka nje ya mstari mrusihe.

Kama ulisoma vizuri post zangu zilizopita nilisema kwenye chama cha siasa lazima kuwe na strategies za muda mfupi na muda mrefu na ningependa kuona CDM inakuwa na nguvu au na wawikilishi kama ilivyo CUF bara. Tunaona kuwa CUF japo haikufanya vizuri bara kama ilivyo kwa zanzibar ila imeambulia viti viwili kama sikosei Lindi na jimbo jingine maeneo ya kusini. Ingekuwa ni faraja na CDM kufanya oparations kama zile za "sangara" zanzibar na kuweza kupata japo viti viwili vya ubunge. Naaamini kama dhamira ipo hilo linawezekana.

Ni ukweli kuwa CDM inahitaji wanasiasa zaidi wengi wao ni wanaharakati mfano ni Mheshimiwa Tundu Lisu, Mwalimu wangu mama Naomi Kaihula aliekuwa TNGP hao kwa uchache. Siasa kuwa wakati mwingine inahitaji diplomacy na sio lugha hatarishi. Kama za jino kwa jino, ngunguri, ngangari na kadhalika.

Napenda kumalizia kwa msisitizo kuwa Roma haikujengwa siku moja na hali kadhalika chama makini lazima kiwe na mikakati ya muda mrefu.

Nisamehe kama nimekukwaza kwa namna yoyote ile hususan nilivyosema kuhusu wanaotumia PC za umma kutukana viongozi.
 
Hivi Ingetokea kwamba Jahazi asilia/ nccr/ chadema au tlp wameshinda Zanzibar na wao kwa Sababu hawakushirikishwa katika Maamuzi ya Seif na Karume wakakataa kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa nani angelaumiwa?

1: Je Haukuwa Ubinafsi wa CUF kutovishirikisha vyama vingine katika Mazungumzo yake ya Muafaka dhidi ya CCM?
 
Mkuu mleta mada,najua wee msomi kwa elimu ya chuo kama sikosei Uhasibu,nakumbuka pale karibu na posta ila lugha ya kiswahili hauitendei haki. Kuna maneno mazito unayatumia kiasi kwamba yanawatisha watu. Si kweli kuwa Viewers wasiokujibu ni wanacdm,kumbuka jf hata non member anaweza kuview na angalia viewers wa jf kwa siku ni wangapi kama hawazidi hata members wa jf. Tena napenda uweke maneno yako vizuri,usitegemee kuuliza mbunge swali ukaweka title swali la kizushi,alaf ukute Mnyika,Mkumbo dr. ,wamekujibu.,haiwezekani. Alaf hata kama mtu akikupinga weka itikadi pembeni umjibu kwa weledi,ulivowajibu wachangiaji ni ajabu,mfano kagemro! Mwisho,napenda kujibu hoja japo mi stajatakiwa kukujibu sababu umewataka wanacdm kama Mnyika na mbowe,ila kuhusu kambi ya upinzani, Cuf waende kuwakilisha wananchi wala si kugombea vyeo. Kumbuka mwaka 95 CUF iliunda kambi pinzani yenyewe pekee,05 imelazimika kwa kuwa haikuwa na 12%ya wabunge,mwaka 2010 ndo cdm wanaunda kambi peke yao wana 12%+,pia CUF haikuandikishwa Zbar,ni chama cha kitaifa na kina sera moja. Mfano cdm iko Tz nzima,na hapa mfano kama hawajaridhika hawawezi kusema cdm kanda ya kaskazini wameingia msituni/wamehasi,alaf ukasema pande zilizobaki watakaa kidemokrasia,hapana,wakifanya jambo tunajua wamefanya jambo kama Cdm Taifa! Mtego wa ccm kuweka Cuf zbar ni mbaya sana. Mwisho,sikuweza kujibu hoja zako zote ila kumbuka kama Cdm wakishika hatamu wanakuja na KATIBA mpya na hawatabanwa na maswali yako bali watafanya "system overhaul". CCM walichokiweza miaka yote ni divide n rule. Mwaka 95 TLP walimpambanisha maasimu wao yule shushushu na kashfa ya kuwa na mke wa nje,mwaka 2000,2005 wakasema CUF ni magaidi na ni chama cha kidini,wakaleta mpaka makontena ya visu vya kivita vikiwa na nembo ya CuF,leo hii visu vipo hata k.koo vinauzwa wala haviitwi zana za kivita kama Mahita alivodai,na kwa kufanikisha ilo uliza leo hii mahita ni nani ktk vitegauchumi vya Tanzania. Mwaka 2010 wamesema Slaa,dr. ametumwa na wakristo! Na kweli watu wanatamaalaki kwa ili hadi rais katangazia tanzania bungeni adui wa nne UDINI. JE,ivi Tanzania Waislam/ au Wakristo hawapaswi kutawala? Kama ndo ivo Ccm kina dini gani kwa kuwakataa waislam/wakristo kwa nyakati tofauti? Ccm dini gani?wapagani? Pia angalia maana ya KUB maana kila ulipoirejea umekosea' Siku njema.

Ni kweli mimi nimesoma hicho chuo na kuchukua fani ya uhasibu. mkuu mimi kwa ufupi kabisa nakubaliana na hoja zako ila sisi Mungu katujaalia akili kwanini tuyumbishwe na maneno ya kejeli na kashfa? kwani hakuna anaejua kuwa propaganda ni sehemu ya siasa? kwahiyo sioni ajabu mtu akisema CCM chama watu fulani, Chadema chama cha Mohammed Shossi, fulani wadini hii inaitwa propaganda na vyma vinakuwa vina ofisi za propaganda!

Kuhusu katiba mimi binafsi ningependa katiba iandikwe sasa kama serikali itakuwa imeridhia na kuwa na dhamira ya kweli. Lakini tukingoja CDM,TLP, PPT sijui CUF waingie halafu wabadilishe tutakuwa tunajidanganya sote tunajua yaliyotokea Kenya kina Mwai Kibaki waliahidi katiba mpya wakenya wakawa na matumaini ya kupata katiba mpya as soon Coalition itakaposhika hatamu lakini kilichofuata si sote tunakijua?

Na kuhusu hiyo katiba na tujaalie CDM wameshinda wataindaka wao kama wao au watawaachia wananchi waiandike? swali linakuja kuna katiba ya Jamhuri na katiba ya Zanzibar ya zanzibar kama itaandikwa na wananchi wakiamua kuwa wao kutokana na matatizo yao ya kihistoria wangependa serikali shirikishi CDM watakuwa radhi kwa hilo yaani kukubali matakwa ya wananchi wa zanzibar?
 
Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.

Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.

1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?

2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.

b)Je ikitokea siku moja mkashika nafasi ya pili Zanzibar na katiba inasema kuna Serikali ya kitaifa mtakubali ku join hands na walioshinda ili kuwatumikia wananchi?

Nina maswali mengi lakini hayo ni yamsingi mengine ya nyongeza yatakuja baada ya kujibiwa hayo maswali.

si kwamba Chadema hawataki kuunga mkono au kuthamini mchango wa vyama vingine kama cha mahalimu seif(CUF) na si kwamba kutounganisha kambi ni kutothamini watanzania wenzetu mliozungukwa na maji. lakini kikubwa ni kukwepa mtego walioingia CUF kwa CCM na kukubali kuuza chama chao kizuri kwa umakamo wa rais wa zanzibar na kuacha kazi inayotakiwa kuwatetea wananchi wa zanzibar
cha msingi ni bora CUF wajiunge kwenye kambi ya CCM........
pia si kwamba kutojiunga na chama chenye mizizi sehemu fulani ni kutothamini raia wa upande ule
kwa mfano je Chadema kutoungana na CCM bara ni kutowathamini wabara?

lazima watu waikomboe CUF kwanza kabla ya kudhani ni chama sahii cha upinzani

Hizo bold zako sidhani kama zimejibu maswali uliyo ya quote lakini mtakuwa hamtendi haki kwa CUF kusema wamejipa nafasi kwenye serikali ya zanziba nimelielezea hili zaidi ya post 10 nilizowajibu watu hapa ni hivi Wazanzibari walipiga kura ya maoni kupendekeza marekebisho ya katiba kuwepo na serikali ya umoja wa kitaifa kwa vyama vitakavyopata uwakilishi "kwa vyama vitakavyopata uwakilishi" na sio CCM na CUF hata PPT maendeleo ikipata uwakilishi basi iingizwe kwenye serikali. Wazanzibari walipiga kura ya maoni kama iliyopigwa na sudani ya kusini wiki chache zilizopita na hayakuwa maamuzi ya watu wachache.
 
Hivi Ingetokea kwamba Jahazi asilia/ nccr/ chadema au tlp wameshinda Zanzibar na wao kwa Sababu hawakushirikishwa katika Maamuzi ya Seif na Karume wakakataa kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa nani angelaumiwa?

1: Je Haukuwa Ubinafsi wa CUF kutovishirikisha vyama vingine katika Mazungumzo yake ya Muafaka dhidi ya CCM?

hamtendi haki kwa CUF kusema wamejipa nafasi kwenye serikali ya zanziba nimelielezea hili zaidi ya post 10 nilizowajibu watu hapa ni hivi Wazanzibari walipiga kura ya maoni kupendekeza marekebisho ya katiba kuwepo na serikali ya umoja wa kitaifa kwa vyama vitakavyopata uwakilishi "kwa vyama vitakavyopata uwakilishi" na sio CCM na CUF hata PPT maendeleo ikipata uwakilishi basi iingizwe kwenye serikali. Wazanzibari walipiga kura ya maoni kama iliyopigwa na sudani ya kusini wiki chache zilizopita na hayakuwa maamuzi ya watu wachache.
 
Mkuu hapa ujumbe wako uko wazi zaidi: hujafurahia bezo za CDM kwa muungano wa CUF na CCM huko Z'bar. Hilo ni jingine. Lakini ukirejea kuhusu CDM watafanya nini wakifanikiwa kufikia ushindi wa kwanza au wa pili huko Zanzibar basi hauna budi kujiuliza kwanza CDM wana visheni gani kuhusu ushiriki wao kwenye serikali ya Z'bar? Ndipo ninapojibu kuwa sioni kama CDM wana mpango wa dhati wa kushika uongozi wa serikali huko Zanzibar.

Nionavyo, kama mambo yakienda kama wanavyotaka (katiba mpya) basi Zanzibar inaweza kuongozwa na chama kingine na wao wakabakia bara (sitaki kusema Tanganyika) na kushirikiana kwenye serikali ya muungano kulingana na katiba mpya itakavyoainisha.

Nadhani litakuwa jambo la busara CDM ingeeleza kuwa hawana mpango na Zanzibar ili wale wanachama japo wachache liopo kule watafute vyama mbadala.
 
Sory bw Mud, natoa majibu yangu ingawa sikuwa na mda kutosha kusoma post zote. Kama yatakuwa yamejirudia nisamehe. Swali la kwanza. CDM hawatashirikisha vyama vingine kwani katika mazingira yasiyo rasmi vimeamua kujiunga na mojawapo wa vyama tawala, yaani CUF (Kama sio sahihi wakanushe hadharani) Swali la pili. CDM kinaheshimu maamuzi ya wazanzibar kuwa vyama viwili vya kwanza (japo haikuwa wazi kwa nini cha kwanza na cha pili pekee) vitaungana kuunda serikali. Kwa mantiki hiyo kwa kuwa kwa sasa CUF ni chama moja ya vyama tawala ktk sehem moja ya muungano, then kingpoteza sifa ya kuwa pinzani ktk masuala yanayohusu muungano mzima. Hata kawa CDM siku moja watakuwa chama tawala ama kwa muungano au huko zanzibar, nao watapoteza haki ya kutumikia taifa kama wapinzani. Na kama itatokea CDM wakatawala znz (kwa kuwa moja ya vyama viwili vya kwanza) then CDM kwa mujibu wa katiba watashirikiana na chama ch
 
Hujamalizia sentensi...walitaka washirikiane lakini akataka ufafanuzi wa CUF inasimamaje ikiwa ndani ya GNU.
Kimsingi reception ya CUF was negative in the first place.

Ila at day end we are discussing something whose end result is 0%

Soma vizuri jamaa alivyosikia ikiwa mie mmoja wao wa waliofatilia ule mdahalo hebu rudia kusoma hii post yake

quote_icon.png
Originally Posted by Gaijin
"Mbowe alisema wakati wa mdahalo na Hamad Rashid kuwa Yeye (Mbowe) alienda kuzungumza na CUF (Hamad Rashid) kuwataka washirikiane kwenye kambi ya upinzani, alikuwa hajui kuwa CUF imeolewa na CCM?"
 
hamtendi haki kwa CUF kusema wamejipa nafasi kwenye serikali ya zanziba nimelielezea hili zaidi ya post 10 nilizowajibu watu hapa ni hivi Wazanzibari walipiga kura ya maoni kupendekeza marekebisho ya katiba kuwepo na serikali ya umoja wa kitaifa kwa vyama vitakavyopata uwakilishi "kwa vyama vitakavyopata uwakilishi" na sio CCM na CUF hata PPT maendeleo ikipata uwakilishi basi iingizwe kwenye serikali. Wazanzibari walipiga kura ya maoni kama iliyopigwa na sudani ya kusini wiki chache zilizopita na hayakuwa maamuzi ya watu wachache.

Inafahamika kwamba Kura za Maoni zilitokana na Majadliano ya CUF na CCM sasa nataka kufahamu ni vipi CUF Ilivishirikisha vyama vingine katika huo Mchakato kabla ya Kura za Maoni? Maana hapa tunazungumzia Ushirikiano wa Vyama vya Upinzanzani au CUF ilikuwa haiviamini vyama Vingine zanzibar au ilifanya vike kwa kuwa Yenyewe ilikuwa na Nguvu zanzibar kuliko TLP, NCCR Jahazi Asilia
 
Sory bw Mud, natoa majibu yangu ingawa sikuwa na mda kutosha kusoma post zote. Kama yatakuwa yamejirudia nisamehe. Swali la kwanza. CDM hawatashirikisha vyama vingine kwani katika mazingira yasiyo rasmi vimeamua kujiunga na mojawapo wa vyama tawala, yaani CUF (Kama sio sahihi wakanushe hadharani) Swali la pili. CDM kinaheshimu maamuzi ya wazanzibar kuwa vyama viwili vya kwanza (japo haikuwa wazi kwa nini cha kwanza na cha pili pekee) vitaungana kuunda serikali. Kwa mantiki hiyo kwa kuwa kwa sasa CUF ni chama moja ya vyama tawala ktk sehem moja ya muungano, then kingpoteza sifa ya kuwa pinzani ktk masuala yanayohusu muungano mzima. Hata kawa CDM siku moja watakuwa chama tawala ama kwa muungano au huko zanzibar, nao watapoteza haki ya kutumikia taifa kama wapinzani. Na kama itatokea CDM wakatawala znz (kwa kuwa moja ya vyama viwili vya kwanza) then CDM kwa mujibu wa katiba watashirikiana na chama ch

Na kushauri usome post namba mia na saba especial sehemuyenye rangi nyekundu.
 
Na kushauri usome post namba mia na saba especial sehemuyenye rangi nyekundu.

Inafahamika kwamba Kura za Maoni zilitokana na Majadliano ya CUF na CCM sasa nataka kufahamu ni vipi CUF Ilivishirikisha vyama vingine katika huo Mchakato kabla ya Kura za Maoni? Maana hapa tunazungumzia Ushirikiano wa Vyama vya Upinzanzani au CUF ilikuwa haiviamini vyama Vingine zanzibar au ilifanya vike kwa kuwa Yenyewe ilikuwa na Nguvu zanzibar kuliko TLP, NCCR Jahazi Asilia
 
Inafahamika kwamba Kura za Maoni zilitokana na Majadliano ya CUF na CCM sasa nataka kufahamu ni vipi CUF Ilivishirikisha vyama vingine katika huo Mchakato kabla ya Kura za Maoni? Maana hapa tunazungumzia Ushirikiano wa Vyama vya Upinzanzani au CUF ilikuwa haiviamini vyama Vingine zanzibar au ilifanya vike kwa kuwa Yenyewe ilikuwa na Nguvu zanzibar kuliko TLP, NCCR Jahazi Asilia

Hilo nadhani lilionekana na kwa busara za viongozi wa CCM walipendekeza yale yalikuwa ni maoni ya viongozi wachache wa CUF na CCM wakapitisha azimio kule butiama kuwa jambo hilo lipelekwe kwa wananchi waamue. Na hata hivyo maslahi ya vyama vyote yamewekwa kwa maana katiba imebadilishwa na kusema chama chochote kitakachopata uwakilishi basi kitakuwa miongoni mwa serikali ya kitaifa. Labda hapo kinachogomba itakuwa ni posho za vikao vya CCM na CUF na sio maslahi ya hivyo vyama kama ulivyoviainisha.
 
Namuona Mheshimiwa Dr wa ukweli yupo online, Dr kama unanisoma ningependa kusikia busara zako maana watu wengi wamechangia na imeibuka hoja kuwa CDM haina haja na Zanzibar.

There are currently 82 users browsing this thread. (33 members and 49 guests)

Hilo nadhani lilionekana na kwa busara za viongozi wa CCM walipendekeza yale yalikuwa ni maoni ya viongozi wachache wa CUF na CCM wakapitisha azimio kule butiama kuwa jambo hilo lipelekwe kwa wananchi waamue. Na hata hivyo maslahi ya vyama vyote yamewekwa kwa maana katiba imebadilishwa na kusema chama chochote kitakachopata uwakilishi basi kitakuwa miongoni mwa serikali ya kitaifa. Labda hapo kinachogomba itakuwa ni posho za vikao vya CCM na CUF na sio maslahi ya hivyo vyama kama ulivyoviainisha.

Ha ha ha huu Ndio Upopo wenyewe, Kwamba Huoni Ubinafsi wa CUF katika kuvishirikisha vyama Vingine na Unataka utuaminishe kwamba Maslahi ya Vyama Vingine yalizingatiwa.

Mkuu Shosi CUF lazima Isome Alama za Nyakati Upopo Hautaisaidia Itapotea I'm telling you
 
Sawa ila nasisitiza kuwa katiba imeandikwa na inasema watakaopata uwakilishi wataunda serikali ya kitaifa hajavitaja vyama. Sipo upande wa CUF wala CCM ila ubaya niuonao hapo ni kuwa hivyo vikao vya awali vilikuwa na posho ingekuwa ni jambo la busara wangewashirikisha na wenzao ilinaowao walau walambe kiasi.
 
Mkuu Hauna Tofauti na Mtatiro yaani CUF iliona kwamba Kitu ambacho CHADEMA, TLP NCCR na JAHAZI wangeweza Kuchangia ni Kula Posho sio? Kaazi Kweli kweli Now I'm getting a point why CUF hawakuwashirikisha wenzao wenzao Kumbe kisa POSHO Isingetosha sitoshngaa hata sasa hivi kinachopigiwa Kelele na Akina Rashid ni Posho za Uenyekiti wa Kamati
 
Muungano ulitokana na blackmail bana kwamba yule cargo ilitakiwa akubali muungano ili askari wa bara waende zenj kuyalinda mapinduzi ndo maana karume hakupata kuwa comfortable na muungano na lazima utavunjika.
About CDM Kuandika katiba mpya pindi wakikamata nchi well we have a looong time to wait for that
 
Back
Top Bottom