Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu.
Tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.
Excellent observation! Yale yanayohusiana na tija KUU ya taifa hatuyapi kipaumbele sahihi, matokeo taifa linaendeshwa kimzogamzoga. Mungu ibariki Tanzania chini ya M4C
Hawa akina aroo tatizo lao wapo kama yule mnyama tunayemfuga nyumbani kwa ajili ya usalama wakiambiwa shika wanashika hata kama ni anayewalisha kwenye swala la akili za kuambiwa huwa hawachanganyi na zakwao
Mbona CCM huwa anawapa askari wakutosha kukiwa na maandamano why uwe tu Chadema, Kova endelea kufanya hivyo subiria 2015 utaona mwenyewe. Nadhani umeshasahau kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho ndo maana unafanya hivyo