PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu.
Tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.
Tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.