Nimeuliza hivyo kwa sababu nina maeneo mawili yatumiayo umeme chini ya unit 30 kwa mwezi kila upande. Lakini ninunuapo umeme wa 10000 kila site napata unit 28 sawa na @ 350 kwa unit. Sasa najiuliza hii bei ya sh 100 kwa unit ni kwa vigezo vipi au tunapigwa changa la macho kama ilivo kwa PAYE, VAT kwa taasisi za fedha n.k?