Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
nafikiri sasahivi umemuelewa.
NImemuelewa ni mdaku mwenye PhD
nafikiri sasahivi umemuelewa.
walifuta Jana, ila Leo wamebadilishaMmegundua JF wameshafuta jina la Makonda au Bashite kwenye nyuzi? Cool.
haha haa,mimi nilifikiri RAIS atasema anapenda vipindi kama THIS WEEK IN PERSPECTIVE na STRAIGHT TALK AFRICA cha VOA kumbe loh!"napenda SHILAWADU"🙁😱NImemuelewa ni mdaku mwenye PhD
Possibly, cause Bashite hana pa kupumulianasikia GSM wanataka kuanzisha media house, hivi ni kweli?
Ukicheza na akakuzoea......utaingia naye msikitini[emoji26] [emoji26] [emoji26]Clouds hawataki mazoea tena
Sorry ukicheza na mbwa [emoji134] [emoji134]Ukicheza na akakuzoea......utaingia naye msikitini[emoji26] [emoji26] [emoji26]
haha haa,mimi nilifikiri RAIS atasema anapenda vipindi kama THIS WEEK IN PERSPECTIVE na STRAIGHT TALK AFRICA cha VOA kumbe loh!"napenda SHILAWADU"🙁😱
Tusubiri movie season two.Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Nasikia mwenye Media ameamua kufuta rasmi kipindi chake pendwa cha SHILAWADU
ATAPIGA SIMU TBC SASAMuda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Mi nilikiangalia siku moja, kwa umri wangu na majukumu yangu ya shughuli za shambani sikuona lolote la maana. Ndiyo maana Mh. Rais amesema tusipende mambo madomadogo tuwe tunajadili issues na siyo personalities za watu, kwani kile kipindi ni umbeyaumbeya tu na udaku, nani kazini na huyu, nani kaachwa, mambo ambayo si ya kuyapa nafasi kwenye ubongo kama una vitu vingine vya kufikiriTangu hiki kipindi kianzishwe sijawahi kukiangalia, niliposikia Rais anakiangalia nikapata imani litakuwa bonge la kipindi
Mi nilikiangalia siku moja, kwa umri wangu na majukumu yangu ya shughuli za shambani sikuona lolote la maana. Ndiyo maana Mh. Rais amesema tusipende mambo madomadogo tuwe tunajadili issues na siyo personalities za watu, kwani kile kipindi ni umbeyaumbeya tu na udaku, nani kazini na huyu, nani kaachwa, mambo ambayo si ya kuyapa nafasi kwenye ubongo kama una vitu vingine vya kufikiri