Swali la kichokozi: Rais ataendelea kupiga simu Clouds?

Swali la kichokozi: Rais ataendelea kupiga simu Clouds?

Hahaaa swali lakikuda hili a see acha uchochez bana
 
Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Je,ataendelea kuwapigia simu kuwaambia habari za kusoma???
 
Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Aiseeee,bwana Kamoga Hudson alicheza na nyota vizuri,uteuzi usigewezekana kama issue hii ingetokea kabla hajateuliwa!
 
Hapangiwi! Yani nikikumbuka hili neno najiuliza maswali mengi sana
 
hahahahaha hapa ni Kolomije tu hakuna cha makonda wala bashite wakibani tutamwambia mange kimambi atutumie anuani ya mtaa wake tuendelee kutumia
 
Mwenzio niliposikia Rais anaangalia hicho kipindi nilimtafakari kama mara mia hivi sikumuelewa
Kipindi ambacho gigy money anachorwa tattoo matakoni,eti ye anaangalia na kudai anakipenda sana
 
Mwenzio niliposikia Rais anaangalia hicho kipindi nilimtafakari kama mara mia hivi sikumuelewa
"Mtoto" wake alimuelekeza aseme vile ili watu waangalie kwani alishapanga kumchafua Gwajima
 
Ambacho huwa anakifanya magufuli kupiga simu cluods ni sawa na kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mke wako hata Kama hataonyesha kukasirishwa kiuhalisia hilo linafahamika hawezi kufurahi hata kidogo the same to TBC wanajisikia vibaya lakini hawana namna zaidi ya kuvumilia
 
Hatukumsindikiza juma pumba makoye kununua simu.

Hivyo nasisitiza tena 'tusimpangie simu za kupiga'
 
img_20170322_072438-jpg.484920
 
Tangu hiki kipindi kianzishwe sijawahi kukiangalia, niliposikia Rais anakiangalia nikapata imani litakuwa bonge la kipindi
ahaa...kumbe makonda alitaka ile vidio irushwe ili mkulu aione coz anaangaliaga kipindi ee....mmm hawa watu wataliangamiza taifa
 
Back
Top Bottom