Swali la kichokozi: Rais ataendelea kupiga simu Clouds?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
 
Nasikia mwenye Media ameamua kufuta rasmi kipindi chake pendwa cha SHILAWADU
 
Muda mrefu watanzania tumekuwa tukijiuliza kwanini Rais anapenda kusifia clouds kuliko TBC channel ya taifa. Na mara nyingi amekuwa akipiga simu za kuwapongeza, nachojiuliza bado Rais anaiona clouds kama kituo bora cha matangazo kuliko TBC, na je ataendelea kupiga simu za kuwapongeza?
Akipiga aongee na Bashite, cc wengine tumeshajitambua, hatudanganyiki ng'oo!
 
Hawezi, first born wake aliyemshawishi kesha mwaga mboga pale na harudi kijiweni tena hivyo baba hapigi tena.
 
Back
Top Bottom