Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,944
Atahamia Tbcccm kipindi cha cherekochereko yeye na mwanae anayejiita Daudi mtoto wa kota
Kwakweli hata mimi nakisikia tu Kwa watu!!Tangu hiki kipindi kianzishwe sijawahi kukiangalia, niliposikia Rais anakiangalia nikapata imani litakuwa bonge la kipindi