Elections 2010 Swali la karne

1. Kuhudhuri Send off, Harusi , Kitchen party , matamasha ya muziki tooo much kuliko waliomtangulia !!
 
1.mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali, Unga, Mchele mahindi, sukari nk.
2.Kupanda kwa kodi za uagizaji bidhaa mbalimbali, hata magari chakavu(MITUMBA), bei juu, , kuongeza kodi kwa magari yanayonunuliwa kupitia Zanzibar.
3.Kuongeza utitiri wa shule zisizo na walimu wala vifaa, hata umeme hazina
4.Kuleta timu ya Taifa ya Brazil kwa gharama za walipa kodi.
5.
6.
7.
 
5 ridhiwani kuwa shadow ccm chairman
 
Kusema uongo wa wazi wazi alioupanga katika karatasi na kuuita hotuba. Tena katika mwezi ambao kwake anasema anahitaji toba. Ramadhani
 
1.mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali, Unga, Mchele mahindi, sukari nk.
2.Kupanda kwa kodi za uagizaji bidhaa mbalimbali, hata magari chakavu(MITUMBA), bei juu, , kuongeza kodi kwa magari yanayonunuliwa kupitia Zanzibar.
3.Kuongeza utitiri wa shule zisizo na walimu wala vifaa, hata umeme hazina
4.Kuleta timu ya Taifa ya Brazil kwa gharama za walipa kodi.
5.
6.
7.
Ukiona watu wanakuwa wepesi wa ku-ID madudu badala ya mema ujue hapo kuna shida! Kinachosikitisha zaidi ni kwamba hata wafuasi na washabiki wa CCM wameshindwa kutaja hata 1 jema JK amefanya!

Hivi kuna logic gani ya ku deny ukweli kama kweli CCM wamefanya mazuri! Tungewapigia makofi Bravo JK. Lakini yako wapi?
Bandari ya imetoka from bad to worse mpaka wafanyabiashara wazawa wanakimbilia Mombasa! Rushwa inanuka kila mahali na kila anayejaribu kusema anapigwa rungu, kimya!!!!!! mpaka wabunge walulizeni walipojifanya kufuatilia Richmond.

Mfumuko wa bei unasikitisha wakati huo huo wanatamba wameongeza mishahara (hatua mbili mbele tatu nyuma)

Ufanisi wa miradi ya maendeleo ni sifuri, Waziri Mkuu kazi kulia tu, Unapanga kujenga nyumba za waalimu 3000 unajenga 200 na bado wasimamizi wanakula maisha na viwango vya hizo nyumba ni kichekesho.

Tuna nini cha kujivunia leo Tz? Kuanzia kilimo licha ya ardhi yote hiyo mpaka utalii! Ni ubabaishaji! And you know them! c'mon CCM hamuoni aibu?
 
1.Kaongea na obama
2.Kaoa mke mwingine
3.Kaomba wezi warudishe sehemu ya waliyoiba

hahahahha duuuuuu jamani Amejenga UDOM ila kwa madeni makubwa saaana bcs pesa zote zimekopya toka mifuko ya jamiiiii!! Isipokuwa admin Building ndo zimetoka hazina! that's all I know!!
 
1. Safari za nje zimeongezeka!
2. Matumizi ya ofisi yake yameongezeka mara dufu!
3. Msafara wake umeongezwa...
4. Mkewe kutumia ndege za Serikali kama Viongozi wengine wa Serikali..
 
Jibu:
Baadhi wamepata 0%, wengine 30%, jibu ni:
1. Kupiga picha na Boyz2men, hilo ni jambo kubwa zaidi katika uongozi wake, ni mpenda michezo
2. Kuweka rekodi ya Vasco da Gama ya kuizunguka Dunia, mpaka anachoka na kuanguka ubeligiji
3. Kuiwezesha familia yake binafsi, ya makamba na rafikize, kuhodhi madaraka ya kisiasa na kiuongozi
 
Back
Top Bottom