Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia


mkuu ulilamba asali sasa umechonga mzinga kabisa unaendeleza libeneke
Ndo ukaamua ufukue makaburi? SijapentaaaaašŸ¤£
 
Wanawake wazuri hawawazi kuchepuka regardless, Mwanamke anayecheat ni malaya tu aliyekuwa anasubiri apate sababu ya kucheat, she's a broken bitch. Fvck them, however dont associate with them.
Kwani si wanachepuka na wanaume hao hao ambao nao ni waume za wanawake wengine!
 
Ni bora zaidi mwanaume kuchepuka kuliko mwanamke.
Na sababu kuu ni kwamba wanawake ni binadamu kama wengine, nao wana mahitaji ya kimaumbile na kwa bahati mbaya ni wengi kwa idadi, hivyo lazima hao wanaume wachache waliopo wawatosheleze kimahitaji, vinginevyo watabaka watoto
 
Back
Top Bottom